Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
Assault at Mogadishu.Soma kitabu cha "Assault In Mogadishu".
Book by Kai Hermann and Peter Koch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assault at Mogadishu.Soma kitabu cha "Assault In Mogadishu".
Assault at Mogadishu.
Book by Kai Hermann and Peter Koch
Sawa mkuu, ila sijui kati yako wewe na muandishi halisi wa kitabu nani yupo sahihi.Mogadishu ni Mji sio kitongoji. Kufuatana na sheria za lugha ya Kiingereza miji yote ni "in" na vitongoji or places ni "at".
Mfano: So so person was arrested "at" Kurasini "in" Dar es salaam.
so, its: Assault in Mogadishu.
Sawa mkuu, ila sijui kati yako wewe na muandishi halisi wa kitabu nani yupo sahihi.
Na kama sikwenda shule?Kama umeenda shule, na ulikua mzingatiaji wa masomo, nilichokuandikia kilikua hakiitaji majibu.
Umesoma mpaka darasa la ngapi?Na kama sikwenda shule?
Wewe umesoma mpaka la ngapi?Umesoma mpaka darasa la ngapi?
Hahahaa utakuta ameishia la 4 tu huyoWewe umesoma mpaka la ngapi?
Bwashee, kwani kuishia la 4 ni jinai?Hahahaa utakuta ameishia la 4 tu huyo
Sio jinai bwashee lakini kwanini aishie la 4 wakati elimu ni bure?Bwashee, kwani kuishia la 4 ni jinai?
Kusoma mpaka kiwango fulani hiyo ni hiyari ya mtuSio jinai bwashee lakini kwanini aishie la 4 wakati elimu ni bure?
Kwa dunia ya sasa kusoma na kuwa na maarifa mengi ni muhimu sana ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuajiriwa kwa uharaka.Kusoma mpaka kiwango fulani hiyo ni hiyari ya mtu
Inaonekana unapenda Sana ajira mkuuKwa dunia ya sasa kusoma na kuwa na maarifa mengi ni muhimu sana ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuajiriwa kwa uharaka.
Nina mabwawa ya kufugia samaki Morogoro pamoja na mradi wa kuku wa kisasa. Pia nimeajiriwa katika katika kampuni ya clearing and forwarding huku Dar.Inaonekana unapenda Sana ajira mkuu
Usipende sana ajira kijana. Waza pia kujiajiri aisee dunia ngumu sana hiiKwa dunia ya sasa kusoma na kuwa na maarifa mengi ni muhimu sana ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuajiriwa kwa uharaka.
Kusoma sana kwa sasa sio jambo la hiyari mkuu bali ni muhimu kwa maana dunia inabadilika kila siku.Kusoma mpaka kiwango fulani hiyo ni hiyari ya mtu
Thanks
Depo ipi tena mkuu?We jamaa umerudi depo