Luteni Kanali Vladimir Putin: Afisa muandamizi wa KGB Ujerumani Mashariki na mfadhili wa makundi ya ukombozi Middle East (PFLP, Hezbollah, Hamas)

Mogadishu ni Mji sio kitongoji. Kufuatana na sheria za lugha ya Kiingereza miji yote ni "in" na vitongoji or places ni "at".

Mfano: So so person was arrested "at" Kurasini "in" Dar es salaam.

so, its: Assault in Mogadishu.
Sawa mkuu, ila sijui kati yako wewe na muandishi halisi wa kitabu nani yupo sahihi.
 
Kwa dunia ya sasa kusoma na kuwa na maarifa mengi ni muhimu sana ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuajiriwa kwa uharaka.
Usipende sana ajira kijana. Waza pia kujiajiri aisee dunia ngumu sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…