Pablo Escobar
Member
- Apr 17, 2008
- 21
- 0
Njimba Nsalilwe thanks kwa mawazo yako. I used to belive the same thing kuwa money is not everything but now I know it is! There are two things here, 1 is the way u get the money and 2 is the way u spend the money.
Kwanza KWa kesi ya Dr. Ponjo na dili zake hakuna hata moja iliyowathuru watu wake(meaning watanzania. Yeye anapiga dili kiwanja, na hata hayo magari aliyoyapiga ni ya bei mbaya so 90% of them they should have insurance, so hao watu hawajapata hasara coz they got paid by the insurance company. Ukilinganisha na hao watu uliowataja wengi wao wamewaibia wanachi wao kwa njia moja au nyingine especialy Lowasa.
Na pili Dr. ponjo amesaidia sana watu wake kwa hizo hela za dili. Sasa kama alikuwa anjirusha sana hayo ni matokeo tu but ukilinganisha na hao watu wengine wao walikuwa wanatumia hizo hela kuendelea kukandamiza wanachi especialy Lowasa. Hela zake za nyingi amezimwaga wakati wa uchaguzi ili aendelee kuwabana watanganyika. Na kama huamini wewe subiri tu utaona coz pamoja amejihudhuru lakini anajiandaa kugombania urahisi after Kikwete. Wewe hukumbuki Raisi mstahafu Mwinyi alivyojihuthuru wakati akiwa Raisi alafu akaja kuwa Raisi? so hii ya Lowasa ni janja yake tu.
Na kwa watu hawa wote kwenye huu mtandao wanaompiga madongo Dr. Ponjo, mbona hamkemei hao wakubwa wote wanauza madawa ya kulevya hapa nchini? Mheshimiwa Amina alipiga kelele wakampoteza, na nyinyi mnaogopa kupotezwa? Angalieni maovu ya kweli, sio kupiga kelele tu kwa mtu moja ambaye dili zake hazijawahi kukuthuru in anyways zaidi ya yeye kujisaidi a yeye na watu wake. Na ndio maana nilisema kuna wengine mna chuki binafsi.