Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Wewe Huna akili, Unaandika mambo usioyajua na kuyaweka bila kuwa na uhakika.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika vitu kama hivi, mimi naifahamu ile familia na yote ulioandika haleti maana, Afadhali hata walikuwa matajiri wewe na familia yako mna nini?

Watanzania mliokosa maendeleo, Topic hii haihusiani kabisa na mambo uliyoyaandika. Na kibaya zaidi habari nyingi ulizoziandika sio za kweli.
Achana na maisha ya watu anaglia ustaarabu wako. Mjinga wewe.

Raha ya tusi mtukwanaji ajue!
 
KKN:

Kama wizi ni fit kwenye professional job categories, basi huyu jamaa ni ndio prefessional yake kisawasawa.

Mponjoli alikuwa na vurugu sana kule Dallas. Yaani dili zote unazozijua wabongo wanacheza hapa U.S., yeye kazicheza na zaidi. Kuanzia dili za tax returns, credit cards, mpaka SSN za wafu. Alikuwa mtaalam wa short-cut mpaka akapachikwa hadhi ya u-dr. Ni mjanja kwelikweli....well, in a negative way.

Walim-deport marekani baada ya kukamatwa bank. Alikwenda upfront kwa teller ku-withdraw over $100,000 kwa kutumia ID feki (story za mitaani zinasema hivyo).

Naona baada ya kutua bongo, akakimbila U.K. Nako hakuchukua muda kuendeleza fani.

No doubt, the guy is a professional thief

Wrong ifo jamani. Dr hakudipotiwa, bali alitoroka baada ya kuwa out kwa bell. Dr alidhani atakimbia haya mambo siku zote, alikuwa mtu wa kawaida tuu alipotoka kwao mbeya huko. Sema kuja Dtown akakutana na watu washenzi washenzi wakamuonyesha ramani. Kwa bahati mbaya wengi wao wako jella sasa, include Jeshi boy.

Alipokwenda Dar mwaka 2003 aliwaliza bank moja, nikasema this will end soon or later. Then akaowa mwizi mwenzie mkenya, akajaribu kuwaconvice vijana wadogo walio na tamaa na wasio mjua Mponjoli. Most of hawa vijana wakawa ndio vibaraka wa kwenda kumtolea magari yake huko dar.

I knew kwamba yatakuwa na mwisho. I hope watamfunga kwa miaka mingi sababu huyu kijana ni hatari sana. Kwa msio mjua Dr ndio mtaangaika kumtete atoke jela. Ukweli ni kwamba the guy ni hatari kwa nation security.

Amesha bamiza cheki kwenye kila main bank huko dallas. Ameliza bank moja huko dar, this guy ni hatari kama ukoma.
 
NA kwa wale wanaotaka kumfananisha Dr. na vibaka wa mtaani, oneni aibu. The guy was doing big deals na sio wizi wa kijinga. Magari aliyoiba UK ni magari ya bei mbaya na yana insurance, so those people got paid. Hata dili alilopiga Dallas, alikuwa aniibia Benki na sio mtu binasfi na pia sio Benki ya TANZANIA. He does what he was to do to make his life the way he wants it to be, so if along the line Demu wako akapenda his way of living akampa mshijaki then u need to do some thing about ur life. that should tell u something

Jamani kama unamjua Dr Mponjoli then utakubali ya kwamba mponjoli sio smart deler. I saw him alipokuja kiwanja, mpaka alipokuwa anafanya too risk wezi wa kuchapa cheki, mpaka alipoliwa Dtown, mpaka alipokimbia dar, mpaka alipoiba bank ya dar, then mpaka alipokuja UK, then mpaka alipokuwa anawatuma vijana wakamkombolee magari yake ya wizi kisha anawazurumu viele vidogo dogo.

Jina la Dr lilianza D-town sababu ya yeye kuweza kutake risk za kiwehu. Wapo smart wezi ambao always clean their back. Lakini Dr always anacha print ambazo zinaend up kuliwa. Wizi wa magari is not a smart move at all.

What mponjoli alichokuwa anafanya is not smart wizi. back in days alikuwa anaweza kuwapa watu breakfast at Dennie's kisha akalipa kwa kadi. That is stupid sababu they can track your card.

Deal zake za kuchapa cheki za kutoka south africa that was stupid too. Alipokwenda UK i knew kwamba mwisho wake was close. Kina Jeshi ndio waliomfunza huo upuuzi, now wanapay kwenye federal jail in US.

Wezi smart hawaachi print zao. I saw alot of smart wezi watanzania na wanigeria, mponjoli i rank him in 100.
 
Duh!ama kweli kua uyaone.Nimesoma somaaa lakini nimegundua kitu kimoja ni kweli binadamu hatuko kamili.Kuna baadhi wamedai wanaifahamu familia hii ya Mponjori nknk mpaka wametaja ndugu zake marehemu kama Franc,Jane na wengine watarajiwa sasa sijui wao wanachukua sehemu ya UUmba ama?Wengine nadhani hata kumjua ni kwa ukaribu wa ama katika sherehe ama mtu kuonyeshwa kwa kidole,lakini mambo tunayoyasema ni ya ajabu kabisa!.Yote tisa kijana anajulikana kwa kazi zake hivo hakukua na haja ya kutumia muda wote kumjadili,kama tulishindwa kumshauri otherwise tulipokua nae mapaka tukasubiria atakapofikwa na haya ndio tuwe watoa ushauri na maono"visioni"zetu basi tumefanya makosa,if u see someone winning 2 top quintile mpe ushauri nasaha sio mpaka mtu ambaye ndio HIV +ve ndo unajifanya,tulijua tu anamchukua yule wakati ana-virus!Utakua unaendekeza umbea,majungu na kidomodomo ambacho sisi watanzania tunaambia tumezidisha labda kwa sababu ya maisha ya kufanyiwa kila kitu na serikali!
 
lakini jamaa kawaonyesha vijana wengi pale dallas tx na houston jinsi ya kutafuta pesa jamaa hana roho mbaya kama ukiwa nazo
 

Attachments

  • ponjo.jpg
    ponjo.jpg
    25.2 KB · Views: 138
Pablo...
nimekubali sana maono yako kuhusu u'askari wa Dr....nakuunga mkono sana!watu wanachukulia mambo kibinafsi sana,wanamchukia lakini wanatamani wangekuwa na mali zake!!uoga tu ndio unawasumbua...maoni ya baadhi ya watu hapa ni 101% playhating...fanyeni mambo yenu!wala sio mara ya kwanza kwa Dr 'kuisha' and he always come back..mnaomchukia,msubirini atoke mseme on his face hayo mnayoyasema kama sio wanafiki...kama umechapiwa demu wako shauri zako,dont bring it here homie..FA anasema 'wakikumegea demu wako na we tafuta mnyonge ummegee,haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume'.
big up Pablo...
 
Kwani uchunguzi wa kesi ya Dr tayari au bado anasubiri kuwa sentenced
 
Huyu jamaa kweli kichwa ngumu. Yaani huko Dallas aliharibu sana mwanzoni mwa miaka ya 2000, mpaka wakamfunga. Walipom-deport akakimbilia U.k. Huku nako ndio hivyo....Duh gademu!!!


Mbona hii story ya long time sana. Imekuvutia nini wewe? Tupe nyepesi nyepesi na latest
 
Midlands car ring fraudster caught driving hot merc
Aug 16 2008

A FRAUDSTER has been jailed for three years and six months for his part in a £500,000 car ringing operation in the Midlands.

Mponjoli Malakasuka, 35, from Walsall, was convicted of conspiracy to steal for his role in an elaborate scam which echoes the hit Hollywood movie Gone In 60 Seconds.

Malakasuka, a Tanzanian national who came to Britain via the US in 2004, was involved in the theft and exportation of dozens of stolen vehicles, including BMWs, Range Rovers and Aston Martins.

He was sentenced at a hearing at Wolverhampton Crown Court on July 19.

The 35-year-old, who tied the knot in an elaborate beach wed-ding in Florida in 2002, was the only person convicted for the fraud, but police believe he worked as part of a gang.

Leading Midland business figures are believed to be among the victims of the thieves, whose crime spree ran from November 2005 to October 2007.

Cars were stolen from rural and wealthy Midland areas and then exported in sealed shipping containers to Tanzania and Kenya.

The gang is said to have employed the services of unsuspecting freight forwarders, who made arrangements with various shipping companies to export the cars.

Malakasuka slipped into the UK despite having a previous conviction for fraud for which he spent time in a US jail. He was arrested last year after traffic cops ran a routine check on his Mercedes and found it had been reported stolen.

Until his arrest, he worked for a Midland car parts company, earning between £17,000 and £20,000-a-year.

A police source said: "Mr Malakasuka was arrested in a stolen Mercedes after officers ran a PNC check on the car. His home was then raided and various items were recovered."

The theft of prestige cars is a lucrative international business.

A London-based gang arrested in 2006 was found to have been stealing 120 prestige cars a month, mostly Mercedes.

They would strip them down to spare parts, pack them into containers and despatch them to Nigeria. One policeman compared their methods to "an industrial production line".

Repatriation agencies, who collect rewards for stolen cars, brought about 1,000 vehicles back

to Britain in 2006. They employ spotters in places such as Cyprus, Dubai and Spain, looking for suspicious UK-registered cars.

In recent years, overall car theft has declined in Britain.

Of 180,000 vehicles stolen in 2006, 48 per cent were later recovered. The rest were scrapped for spare parts, given a false identity, or shipped abroad. ..SUPL:
 
Kwa wasiomfahamu....


2986d1227990939-dr-mponjoli-akamatwa-na-police-u-k-wizi-wa-magari-ya-kifahari-mponjoli.jpg



2987d1227990939-dr-mponjoli-akamatwa-na-police-u-k-wizi-wa-magari-ya-kifahari-041_g_sized.jpg



Alishauza magari 2, 3 ya wizi na kupata hela...mwishowe na yeye mwenyewe akanza kuyaendesha...!!!

 

Attachments

  • Mponjoli.jpg
    Mponjoli.jpg
    30.3 KB · Views: 239
  • 041_G_sized.jpg
    041_G_sized.jpg
    28.1 KB · Views: 209
Mkuu Yebo Yebo,

Vipi aliwahi kukuzia moja? Kila lililo na mwanzo lina mwisho. Mwache asote huko jela.
 
Mbona Muda mdogo sana wa kukaa Jela? Tena Ulaya...? Miaka 3 na 6months..Kwa miezi ya Jela ni sawa na Mwaka 1 na miezi 8....au sijaelewa wakuu...?
 
Mbona Muda mdogo sana wa kukaa Jela? Tena Ulaya...? Miaka 3 na 6months..Kwa miezi ya Jela ni sawa na Mwaka 1 na miezi 8....au sijaelewa wakuu...?

Akimaliza kifungo wanampandisha na ndege kuja Kipawa.

Kwa makosa yake, kwa kuwa hakutumia silaha kupora magari ya watu, naamini kifungo hicho ni sahihi.

Pia kulingana na kosa lake wanaweza kumrudisha TZ hata mapema zaidi maana madhara ya kumrudisha TZ sio makubwa kwa Watanzania. Nafasi ya ku commit a similar crime akiwa TZ ni ndogo.

Siku hizi UK wanajaribu sana kuwaondoa wafungwa ambao sio raia wao ili kupunguza tatizo la uhaba wa nafasi huko jela. Kwa kosa kama la huyu ndugu yetu, kama uraia wake wa TZ unajulikana, huenda naye wakamwondoa kwa njia kama hiyo.

Ukiwa mweusi na unaendesha magari ya fahari UK, jua ni target ya polisi. Utasimamishwa mara kibao hata kama hujafanya kosa ili mradi tu walifanyie PNC check gari lako. Jamaa angekuwa anaendesha magari mazee kama ya sisi wengine, wasingemshutukia hata siku moja.

Hivi familia yake bado iko Walsall?
 
Hivi hii nayo ni SIASA?If not,kwanini iko katika seksheni hii?
 
Huyu ni mwizi tu. Hata hapa nyumbani hatumuhitaji maana ataiba na magari yetu. Mwizi mzoefu kama huyu lazima aibe ndipo kiu yake ikwishe.
Ikiwezekana wasimrudishe huku bali wampeleke baghdad akajitoe mhanga na aishie huko huko.
 
Akimaliza kifungo wanampandisha na ndege kuja Kipawa.

Kwa makosa yake, kwa kuwa hakutumia silaha kupora magari ya watu, naamini kifungo hicho ni sahihi.

Pia kulingana na kosa lake wanaweza kumrudisha TZ hata mapema zaidi maana madhara ya kumrudisha TZ sio makubwa kwa Watanzania. Nafasi ya ku commit a similar crime akiwa TZ ni ndogo.

Siku hizi UK wanajaribu sana kuwaondoa wafungwa ambao sio raia wao ili kupunguza tatizo la uhaba wa nafasi huko jela. Kwa kosa kama la huyu ndugu yetu, kama uraia wake wa TZ unajulikana, huenda naye wakamwondoa kwa njia kama hiyo.

Ukiwa mweusi na unaendesha magari ya fahari UK, jua ni target ya polisi. Utasimamishwa mara kibao hata kama hujafanya kosa ili mradi tu walifanyie PNC check gari lako. Jamaa angekuwa anaendesha magari mazee kama ya sisi wengine, wasingemshutukia hata siku moja.
Hivi familia yake bado iko Walsall?


Mkuu, katika nchi za wenzetu kuwa na gari la kifahari inategemea kipato chako. Ughaibuni ukishakuwa mweusi kufuatiliwa ni jambo la kawaida mbona, hata kama unafanya kazi ya halali!
 
Kwetu sisi wachaga hatuna msamiati wa mwizi,huyu tunamuita mjanja.Utatoka ngoja tukuwekee kikao cha kuchangisha fedha za kukata rufaa.
 
Mkuu, katika nchi za wenzetu kuwa na gari la kifahari inategemea kipato chako. Ughaibuni ukishakuwa mweusi kufuatiliwa ni jambo la kawaida mbona, hata kama unafanya kazi ya halali!

Himawari hiyo inaitwa racial profiling na ipo hata hapa ma USA....Ni tatizo sugu hasa miji ambayo weusi niwachache ama ina elements za kibaguzi.

Yo Yo
user_offline.gif

Yo Yo has no status.
JF

Kwetu sisi wachaga hatuna msamiati wa mwizi,huyu tunamuita mjanja.Utatoka ngoja tukuwekee kikao cha kuchangisha fedha za kukata rufaa.

Sidhani kama ni wachagga specifically nyie mnaosema ni "Ujanja" Nadhani wakazi wengi wa kaskazini hususan Kilimanajaro na Arusha hutumia msamiati huo.....Hata hivyo jamaa ni mnyakyusa kwa hiyo kumwekea kikao cha kuchangisha fedha za kukata rufaa hakujamfanya kuwa mchaga asiyekuwa na msamiati wa "Mwizi"...Hii ikiwa ni pamoja na wewe unaye claim kuwa "Mchagga"
 
Mkuu, katika nchi za wenzetu kuwa na gari la kifahari inategemea kipato chako. Ughaibuni ukishakuwa mweusi kufuatiliwa ni jambo la kawaida mbona, hata kama unafanya kazi ya halali!

Himawari,

Inategemea na sio vizuri ku generalize. Mimi nimeishi hizi nchi miaka mingi na ninaendesha muda wote lakini sijawahi kusimamishwa na polisi hata mara moja.

Kuna jamaa wachache kazini ambao sio wazungu na wanaendesha Porsche cars, wameshasimamishwa mara nyingi. Wanahakikisha muda wote wako na documents ili wakisimamishwa isichukue muda mrefu.

Kama jamaa mmoja alivyoandika, hiyo ni profiling. Kama wanatafuta wezi wa magari wanaanzia kwa weusi na Wahindi. Kama wanatafuta Pedophilia sehemu kubwa wanaoandamwa ni weupe nk.

Kwa Mponjoli kuendesha hilo gari alikuwa anajipeleka karibu na polisi. Hapo naona hakucheza karata yake vizuri.
 
Back
Top Bottom