Lwaitama awapa Mwamba, CCM na wafuasi wao vidonge vyao!

Huyo anaejiita X lwaitama sio lwaitama mwenyewe lwaitama mwenyew ni professor

Sindano zake husababisha viwewe:

IMG_20250101_215657.jpg

Pole lakini ndugu mfuasi!
 
Kuna mahali Wenje anateleza ila CDM strong haiwez jengwa na TL... Take it to the bank..

Leo nilimuona kwenye hotuba akiwa kwenye panic mode ....

Diaspora hawajatoa mil 30... Ogopa sana wapiga debe wakikusapoti mkuu

Wenje huyu ndiye role model wako?

IMG_20250101_223724.jpg

Kama wewe unajiita chadema wahi hospitali si muda mrefu uokota makopo utakuhusu!
 
Wenje huyu ndiye role model wako?

View attachment 3190358

Kama wewe unajiita chadema wahi hospitali si muda mrefu uokota makopo utakuhusu!
Hii si mmemtungia tu mkuu... Nimesikiliza interview yote hakuna sehemu kasema hivi, kama una ushahidi weka hapa nakupa 100,000/= Cash Prize.

Mambo ya Diaspora ndio kichuguu wanapojificha ,

Kuna kundi la Propaganda na Anti propaganda linaendeshwa Whatsap huko... Uje nikukutanishe na ndugu zako mkuu brazaj 😂
 
Ona aina ya watu wanaomshabikia Mbowe ni watu wachumia tumbo na maskini kichwani...rejea Wenje. Ntobi, Nuerere na vituko wengine
Ni kama niliowaona wananunua korosho za kwenye sgr kwa bei kubwa ili wakafanyie show off mtaani
 
Kuna mahali Wenje anateleza ila CDM strong haiwez jengwa na TL... Take it to the bank..

Leo nilimuona kwenye hotuba akiwa kwenye panic mode ....

Diaspora hawajatoa mil 30... Ogopa sana wapiga debe wakikusapoti mkuu
Kuna kabwege katakuja kusema wewe no chawa wa mama
 
Hii si mmemtungia tu mkuu... Nimesikiliza interview yote hakuna sehemu kasema hivi, kama una ushahidi weka hapa nakupa 100,000/= Cash Prize.

Mambo ya Diaspora ndio kichuguu wanapojificha ,

Kuna kundi la Propaganda na Anti propaganda linaendeshwa Whatsap huko... Uje nikukutanishe na ndugu zako mkuu brazaj 😂

Kwani hata mwamba hukumsikia akisema hivyo hivyo?
 
Kwa hiyo wewe unadhani ni chawa wa Chadema?
Hakuna chawa, funza, kunguni wala papasi

Learn to accept different opinions

We said these things in 2015 baada ya baba ndubwi kuuza domokrasia Kwa mzee EL and the only reason given was SISI TUNATAKA DOLA

UNTIL THR WHOLE TEA THAT AUPPORTED THAT IDEA PHASE OUT…. Mtaishia kutumika tu Kama maembe ya wanasiasa uchwarq
 
Kuna mahali Wenje anateleza ila CDM strong haiwez jengwa na TL... Take it to the bank..

Leo nilimuona kwenye hotuba akiwa kwenye panic mode ....

Diaspora hawajatoa mil 30... Ogopa sana wapiga debe wakikusapoti mkuu

Vipi katika walionena haya live, hakuna mterezaji sugu hapo?

Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

Wenje si ni ja sub-woofer tu ila mwenye jambo lake pichani?

Gfn6YE-XkAATunC.jpeg

Hawa ndugu bila kuwatenganisha na ujasilia siasa, bado sana!
 
Hakuna chawa, funza, kunguni wala papasi

Learn to accept different opinions

We said these things in 2015 baada ya baba ndubwi kuuza domokrasia Kwa mzee EL and the only reason given was SISI TUNATAKA DOLA

UNTIL THR WHOLE TEA THAT AUPPORTED THAT IDEA PHASE OUT…. Mtaishia kutumika tu Kama maembe ya wanasiasa uchwarq

Tunawapima wagombea Kwa elimu, maneno, misimamo na matendo yao:

Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

GflRcI0WsAAt-yv.jpeg

Mengine ya ubangaizaji Kwa definition zenu uchwara mtajiju!
 
Hizi ndiyo habari za kufungia na kufungulia mwaka:

View attachment 3190325

View attachment 3190327

View attachment 3190326

La kuvunda halina ubani.

Wakimeza, wakitema ni shauri yao!

Hayo maneno ya kwako siya Prof Rwaitama sikiliza hiyo hapo mkuu[emoji1427][emoji1427]

View: https://youtu.be/4bFvRvum5Ow?si=X6_qpPOxy-OeEhu8
 
Back
Top Bottom