Lwaitama: Samia anaaminika vipi kesi ya Mbowe ikiendelea?

Lwaitama: Samia anaaminika vipi kesi ya Mbowe ikiendelea?

Mkuu, nami huwa nawashangaa wanaofananisha kesi ya Mbowe, na ya Sabaya.
Hivyo, nami naona wanaoona Mbowe ANASTAHILI KUFUNGWA, basi labda iwe kwa mtazamo huo!

Unadhani hata wanaamini Mbowe anastahili kufungwa?

IMG_20211221_122844_573.jpg


Wallahi nakwambia si Samia, Mangula, Zitto, Sirro, Kingai, Siyani, Tiganga, johnthebaptist, mama D na hata binamu zao hawajui kuwa kesi hii ni ya kubumba.
 
Sabaya hakufungwa kama mwana ccm. Alifungwa kama jambazi.
Aliongoza genge la ujambazi wa kutumia silaha! Kuna wana ccm wengine wameua huko karatu.
Inashangaza kiongozi mzalendo mwendazake kuteua majambazi ya aina ya SABAYA kuwepo kwenye serikali yake
Mbowe hata fungwa kama mwanachadema,atafungwa Kama gaidi
 
Mbowe hata fungwa kama mwanachadema,atafungwa Kama gaidi
Tangu sheria ya ugaidi itungwe 2000s pameshawahi kufungwa magaidi wangapi huyu japo awe wa pili???
Hao police failure wanajua hata gaidi anafananaaje?
 
Back
Top Bottom