pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kumbe binadamu anaweza kuwa katili na mwovu kwa binadamu mwenzie kuliko hata shetani.Kwa hakika hayupo asiyejua kuwa kesi ya Mbowe ni ya kubumba.
"Sasa anapohitaji kuaminiwa, labda kama ni kuaminiwa anataka kumnyazisha Mh. Mbowe?"
Mkuu, nami huwa nawashangaa wanaofananisha kesi ya Mbowe, na ya Sabaya.
Hivyo, nami naona wanaoona Mbowe ANASTAHILI KUFUNGWA, basi labda iwe kwa mtazamo huo!
Kumbe binadamu anaweza kuwa katili na mwovu kwa binadamu mwenzie kuliko hata shetani.
right, hata ushetani wa jiwe haumfanyi samia kua mtakatifu, kila mmoja ahukumiwe kwa matendo yake.Udikiteta wa Iddi Amin haumfanyi Museven kuwa Mtakatifu.
Na sabaya?Mbowe atafungwa Kwa ugaidi wake
Mbowe hata fungwa kama mwanachadema,atafungwa Kama gaidiSabaya hakufungwa kama mwana ccm. Alifungwa kama jambazi.
Aliongoza genge la ujambazi wa kutumia silaha! Kuna wana ccm wengine wameua huko karatu.
Inashangaza kiongozi mzalendo mwendazake kuteua majambazi ya aina ya SABAYA kuwepo kwenye serikali yake
Sabaya kafungwa kama nani???Mbowe hata fungwa kama mwanachadema,atafungwa Kama gaidi
Alitenda ujambazi akiwa wapi, lini na raisi akiwa nani?Kwa ujambazi wake
Queen ShebaYezebeli wa Tanzania.
View attachment 2052215
Tangu sheria ya ugaidi itungwe 2000s pameshawahi kufungwa magaidi wangapi huyu japo awe wa pili???Mbowe hata fungwa kama mwanachadema,atafungwa Kama gaidi
Sanaa Kama Anania njema tungeona Haraka sana akifuta kesi zote za kubambika na za kisiasa. Lakini yupo yupo tu anahubiri amani kinafikiHoja nzito
ID za 2021π π πKama jambazi
Ni kinyume na Sheria za jf au?ID za 2021[emoji28][emoji28][emoji28]