Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Alikua na ushauri mzuri ila hajawa na staha na heshima kumjibu ndugu Lwakatare, amemjibu kama vile amemjibu sijui nani vile, au hata angeomba amuone ofisin kwake ikulu, shida ingekua nini?? Sasa kwa jibu hilo hata kama mtu alikua na nia ya kusaidia labda ama lolote anakatishwa tamaa akibak na mshangao kwamba haya yanatokea katika nchi yake. Wewe wewe utoe lugha mbaya mbele ya wahanga hata unapatiwa wazo unajibu ovyo.
Mwenye macho haambiwi tazama
 
Una akili wewe???
 
maskini wanapatikana chato, geita na mwanza
 
Hasira zimempanda Magufuli mpaka anamwambia Lwakatare, "Jenga kiwanda chako cha bati, uuze matofali shilingi 500 kwa bati!" ..... Angalia na kusikiliza mwenyewe video hapo juu. Nimebaki nimepigwa butwaa!
 
Kwanza niseme kuwa Mh JPM umetumi nafsi yako kutukaanga watani zako hasa Wahaya na watu wa Iringa, Songea na Mkoa wa mARA.

Mwakajana ulitumia hadhira kutugonganyundo wahehe kupitia kwa CEO Mfugale wa TANROADS siku ukiwa Mwanza ukiweza jiwe la msingi la Kivuko cha Miguu palee Kirumba super mall.
Wiki hii umwetukamata wahaya, kwa kweli mtaniumetugonga kweli.Lakini ndo utani, nasisi tunasubiri wakati ukifika 2020 ukija kuomba kula BK basi jiandae kupiga goti ili kuomba kura. Ninajua kuwa kisukuma Mwanaume kupiga haikubariki lakini tutahakikisha tunalipiza kwa kukwambia piga goti ili tukupe kula.
Ila uzuri wa mtani wetu Magufuri anathamini shule na uchapakazi wa watani zake. Kwa mara ya kwanza teuzi mbalimbla na za maanaa zimeenda kwa sisi watani zake kuliko uongozi wowote uliopita. Angalia akini mfugale, TANROADS,Mej general Rwegasila ..mambo ya ndani,,Professor Kamzora...Vice president office nk. Eng Rwenge, maji etc. Mtani Mag ukiwa jukwaani unatuweza watani kwani unatugonga kweli.
Onyo:Niniatoa onyo kwa Watanzania kuingilia utani wetu bora kabisa na MH Rais.Acheni kutokamapofu wakati MH anapotutania sisi kwani ni haki yake.Wala sisi haitupi shida watani zake labda nyie uwoga wenu
 
Nilijua angesema Serikali itajenga kiwanda cha bati,na kuwauzia kwa bei poa,kumbe mbunge ndio anatupiwa zigo?Sasa serikali ya viwanda si fursa hyo..
 
Sio kosa lake, yeye sio mfanya biashara ila wafanya biashara ndio wanauza vifaa hivyo vya ujenzi Na sio Serikali. Ashumu wakiambiwa wauze bei ya chini, kuna mfanyabiashara atapenda kweli kuendelea kufanya hio biashara huko!!
 
Ndiyo maana mulimpa kula mungempa kura wananchi tusingeteseka hivi.
 
Nawaza..hivi Mungu akinipa uwezo wa kuingia kwenye ubongo wa JP kule kichwani alafu nisawiri kila anachowaza kila sekunde nitakutana na vitu gani!
Shida tupu na maswali bila majibu. Kiwanda cha kuchakata maneno ya kuudhi na kuumiza na kuwaomba maumuma na maimamu wamuombee kwa maulana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…