Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Kwanza niseme kuwa Mh JPM umetumi nafsi yako kutukaanga watani zako hasa Wahaya na watu wa Iringa, Songea na Mkoa wa mARA.

Mwakajana ulitumia hadhira kutugonganyundo wahehe kupitia kwa CEO Mfugale wa TANROADS siku ukiwa Mwanza ukiweza jiwe la msingi la Kivuko cha Miguu palee Kirumba super mall.
Wiki hii umwetukamata wahaya, kwa kweli mtaniumetugonga kweli.Lakini ndo utani, nasisi tunasubiri wakati ukifika 2020 ukija kuomba kula BK basi jiandae kupiga goti ili kuomba kura. Ninajua kuwa kisukuma Mwanaume kupiga haikubariki lakini tutahakikisha tunalipiza kwa kukwambia piga goti ili tukupe kula.
Ila uzuri wa mtani wetu Magufuri anathamini shule na uchapakazi wa watani zake. Kwa mara ya kwanza teuzi mbalimbla na za maanaa zimeenda kwa sisi watani zake kuliko uongozi wowote uliopita. Angalia akini mfugale, TANROADS,Mej general Rwegasila ..mambo ya ndani,,Professor Kamzora...Vice president office nk. Eng Rwenge, maji etc. Mtani Mag ukiwa jukwaani unatuweza watani kwani unatugonga kweli.
Onyo:Niniatoa onyo kwa Watanzania kuingilia utani wetu bora kabisa na MH Rais.Acheni kutokamapofu wakati MH anapotutania sisi kwani ni haki yake.Wala sisi haitupi shida watani zake labda nyie uwoga wenu
Lugha uliyotumia ni ngumu sana, maneno yameunganishwa hadi mtiririko sahihi wa mada uliyoiwasilisha inaleta ugumu kuilewa.
 
Sio kweli wahaya na wasukuma sio watan hata kidogo mkuu watan wa wasukuma ni wahehe wakwere wazalamo wamakonde yaan makabira ya pwan yote ni watan wa wasukuma wala sio wahaya waacha kupotosha
 
Huyu ni mbunge wa chama gani?
Mbunge mwoga, hajiamini anajipendekeza kiasi hiki ili iweje?
 
Wanyarwanda na Wahaya ni Watani haina shida wakitaniana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
lwax yupo vizuri, busara ya kutosha, msg sent and delivered na wananchi wake wamemuelewa, kiufupi kapiga bao la giroud
 
Huyu jamaa akishindwa uraisi 2020 lazima ang'ang'anie. Sidhan km hatokubali kutoka.
Kila mtu abebe msalaba wake. Acha tuisome namba vizuri. 2020 wampe nchi tena ili tuzid kuheshimiana sidhani wale kijan wanawacheka wapiga deki. SAFI SANA. ALETE NA KODI YA KICHWA NA AJIRA ASITOE KBSA NA UHAKIKI UENDELEEE MILELE.
2020 Mgombea urais kwa tiketi ya CCM anatokea Zanzibar mkuu
 
Hayo majibu binafsi sion kama ni ya kiongozi mzuri...ngoja niwaachie wataalam wenyewe wa siasa ya kukariri..mpinzan ni adui
 
Kiongozi mzuri shurti awe na kauli nzuri kwa watu wake.
Vinginevyo ni wa kiimla
 
Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
Kwahyo hiyo process ya kutafuta mwekezaji na kufanya analysis zote mpk kutengeneza kiwanda na kufanya uzalishaji vinachukua siku moja???
watu waendelee kuishi kwenye tents mpk mabati yatengenezwe??
4:1(twaweza)..
 
Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
Unafahamu mambo ya VAT ndg? Hiyo ikitolewa kwa bidhaa za ujenzi zitakazouzwa kwa Kagera ni msaada Mkubwa kwa waliofikwa na matatizo,ndo alichokuwa analenga Mb.
Changamoto ya kuwatafuta wawekezaji ni nzuri lakini hiyo ni mid/long term plan. Labda umepata mantiki ya Mb.
 
Wazungu have a saying that goes desperate time calls for desperate measures. What Mbunge was proposing to the president is a short term solution to the problem. It is important to remember that these people have gone through a lot; Some have a lost everything they have worked for therefore they need some sort of assistance in order to get their lives back on track. Requesting a tax relief on building materials was a sensible idea and ought to be commended. If the government can offer a tax holiday to foreign investors, why can't the government do the same to the victims of the natural disaster? For the life of me, I am completely baffled and saddened with Magufuli's respond. He ought to be sympathetic with his fellow wananchi. These people are still reeling from the effects of tetemeko and the last thing they need is to be rebuked. They need any kind of assistance ASAP....Building a plant is a long term solution though!
 
Huyu mtu unaweza omba gharama ya gas ipunguzwe akakwambia ujambe halafu uuze gas yako kwa bei utakayo,simuamini kabisa!
 
Back
Top Bottom