Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

wazo jema kuwapa unafuu wa kujenga nyumba za waathilika sawa na kukataa kupandisha kodi kwenye umeme wa wanyonge. Nazani waathilika basi ndo wangepewa kibali cha kununua vifaa vya ujenzi kwa ruzuku ya serikali yetu sikivu
 
Mbunge alikuwa anatetemeka kama ana Parkinson's disease! Au uniform zilikuwa zinamtisha? Hivi Tanzania tumefikia hapa Mbunge hawezi kutoa mawazo yake ya maendeleo wazi bila woga? Hali hii tunaijenga kwa ajili ya faida ya nani?

Kazi ya Mbunge siyo kufanya biashara jimboni kwake! Kuna mtu ana tatizo la kuongea kwanza halafu anafikiri baadae. Utaona hata jinsi anavyochanganya maneno. Hasira ya nini?
 
Mahaba gani hayo m@m@, jamaa katetemeka wapi sasa au unatamani akupige katerero
 
Aise Kwenye Utafiti Wetu Wa 1:4 Kati Ya Hawa Magufuli, Majaliwa, Ndalichako, Na Kairuki Mmoja Ni Miongoni Mwao.
 
Majibu ya Magufuli ni ya kihuni ,elewa kiwa Lwakatare alikuwa anaomba msaada wa dharura (temporary relief) ,swala kiwanda hiyo ni habari nyingine tofauti kabisa,hata kama muwekezaji atapatikana leo itachukua miaka mwili mpaka mitatu kiwanda kuwa kwy full swing.Ningependa kumshauri Magu ajifunza majibu ya kisiasa
 
Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Ni nuru kwani hilo Giza kalileta nani?
 
Akili unayo hivyo jiongeze kidogo tu. Asilimia kubwa tu ya mabati yanatoka nje au kama ni ya ndani basi kuna material zinatoka nje. Wauza mabati ni watu private wanataka faida. Hilo punguzo litatolewaje, kwani jamaa wanaagiza mzigo kwa ajili ya Bukoba tu??? Too much lawama zinawapofusha.
Naona akili za mashabiki na mchezaji zote zalingana,mchango gani huu
 
Wazungu have a saying that goes desperate time calls for desperate measures. What Mbunge was proposing to the president is a short term solution to the problem. It is important to remember that these people have gone through a lot; Some have a lost everything they have worked for therefore they need some sort of assistance in order to get their lives back on track. Requesting a tax relief on building materials was a sensible idea and ought to be commended. If the government can offer a tax holiday to foreign investors, why can't the government do the same to the victims of the natural disaster? For the life of me, I am completely baffled and saddened with Magufuli's respond. He ought to be sympathetic with his fellow wananchi. These people are still reeling from the effects of tetemeko and the last thing they need is to be rebuked. They need any kind of assistance ASAP....Building a plant is a long term solution though!
Thanks MKUU for stressing such a point... i was also shocked with the president's response to Mr lwakatare's motion. He wanted permanent solutions to temporary problems which is unrealistic at this time since people are still sufferig and want an emergency relief from the government. Procedures of starting a manufacturing plant can take a long period of time due to bureaucratic procedures and till then should it mean the wananchi of bukoba will be homeless??? Irrespective of people's different political ideologies but such a comment should be condemned by the entire nation. Suprisingly peope like prof tibaijuka who has more than 30 year experience in issues of housing settlement and UN habitat was also laughing when the president made such a comment that was so demoralising and pathetic. She was supposed to advice mr president on what to do basing on her experience in the field but she failed....

This issue of reducing the price of iron sheets and other building materials was possible if there is an industry in tanzania which manufactures building materials the government could offer some incentives or at least reduce VAT so that the manufacturers will not shift the tax to the buyers hence the price of the products will be low this would have helped this victims to at least some sort of relief from the miseries of the quake.
 
Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...
Hii ilikuwa kejeli. Kajitahidi sana kutumia lugha nyepesi. Yani alikuwa akimaanisha wahaya wajenge kiwanda chao bukoba ndyo wajipunguzie bei watakavyo hata ikifika buku.

Hebu na wewe fikiri. Watu wapo kwenye nyumba zilizo bomoka wasubiri ataftwe mwekezaji, wafanye mikakati ya kujenga kiwanda, wasource finance, waanze ujenzi, wachimbe madini ya bati, watengeneze izo bati ndyo wahanga wanunue kwa bei ndogo waweze kujenga nyumba zilizobomoka.

Hili ni tusi tena kubwa na nimeamini wahya washamba. Walimpigia makofi kwa hilo.
 
Huyu mh wetu vipi kila anachokisema yeye ndicho anachokiona sahihi kwanini hatakikupokea ushauri wa wenzake?kwani amekuwa Mungu ambaye hashauriki?.

Mbona ushauri wa mbunge ulikuwa mzuri,kama serekali haiwezi kuwajengea nyumba waathirika wa tetemeko kuna kosa gani serekali kuwapunguzia waathirika wa tetemeko vifaa vya ujenzi ili watetemeke wenyewe kuvipata vifaa hivyo kwa bei ya chini?.

Mbona kwenye pembejeo za kilimo serekali inatoa ruzuku kwenye vocha na wananchi wanazipata kwa bei nafuu inashindikanaje kwenye hili la watu walioathirika kwa tetemeko?.

Kama serekali imeshindwa kuwapatia nafuu ya kuvipata vifaa vya ujenzi,mchango wa serekali katika janga hili ni upi?kwani hata miundo mbinu na shule ambazo serekali ina sema itazikarabati ina fanya kwa kutumia fedha za misaada zilizotolewa na wasamaria wema kwa ajili ya waathirika na walitakiwa wazipata wao wenyewe.
 
Kamjibu VIZURI SANA akili ya VYA BURE SI KWA ZAMA HIZI.......kwenye hili acheni UNAFIKI
aisee ikopoa thana , ajira tu, hapo atanusuru ,ajira kwa vijana pia, wasomi na wahali yachini kielimu, na miondo mbinu
 
Huyu mh wetu vipi kila anachokisema yeye ndicho anachokiona sahihi kwanini hatakikupokea ushauri wa wenzake?kwani amekuwa Mungu ambaye hashauriki?.

Mbona ushauri wa mbunge ulikuwa mzuri,kama serekali haiwezi kuwajengea nyumba waathirika wa tetemeko kuna kosa gani serekali kuwapunguzia waathirika wa tetemeko vifaa vya ujenzi ili watetemeke wenyewe kuvipata vifaa hivyo kwa bei ya chini?.

Mbona kwenye pembejeo za kilimo serekali inatoa ruzuku kwenye vocha na wananchi wanazipata kwa bei nafuu inashindikanaje kwenye hili la watu walioathirika kwa tetemeko?.

Kama serekali imeshindwa kuwapatia nafuu ya kuvipata vifaa vya ujenzi,mchango wa serekali katika janga hili ni upi?kwani hata miundo mbinu na shule ambazo serekali ina sema itazikarabati ina fanya kwa kutumia fedha za misaada zilizotolewa na wasamaria wema kwa ajili ya waathirika na walitakiwa wazipata wao wenyewe.
Ukimsikiliza huyu Sizonje utakufa kwa presha kabla ya siku zako. Hajui kufariji, hana utu, mbinafsi, mkorofi hata mahali ambapo hapahitaji ukorofi. Hivi akimega hela hizo zetu tulizochanga na akapeleka kwenye viwanda vya bati wasingeweza kupunguza bei kwa kipindi kifupi?
Hilo ni gumegume n not a president material!
 
Mbunge wa Bukoba Wilfred Lwakatare kwenye mkutano wa Magufuli na Bukoba aliomba Bukoba wapunguziwe vifaa vya ujenzi kama bati na simenti kwa kuwa serikali haiwezi kumjengea kila mwananchi nyumba

Akitolea mfano Kikwete kuwapa fidia ya ng'ombe wafugaji waliopatwa na janga la Ukame walipewa ng'ombe na Nyerere alivyofanya kwa CDA dodoma kwa kuwapa msaada wa kodi

Magufuli alimjibu kwa kumpa changamoto ya kujenga kiwanda Kyelwa wauze mabati hata kwa 1,000 kwa sababu kuna madini ya bati Kyelwa na sio mabati ya kutoka Dar na China na ni ya wafanyabiashara.

Ni kweli wanasia wetu wanasafiri sana nje lakini huko wanafanya utalii tuu badala ya kufanya ushawishi kwa wawekezaji
 
hivo vifaa ndo magufuli anategemea kodi wewe unataka akupunguzie hv kweli hakuona kama kuna kigingi hapo
 
Amemkomesha Lwakatare if he wanted to gain some political mirage he is done hivi kweli Magufuli I wakumwambia kitu mtu mwenyewe amejizira hata hajijui kwa nini aligombea kuwa raisi si bora uongee na mawe kuliko kiongozi ambaye anadhani matusi ndio maisha
 
Back
Top Bottom