Lwakatare aomba Bukoba wapunguziwe kodi vifaa vya ujenzi, Magufuli amjibu ajenge kiwanda awapunguzie

Lugha uliyotumia ni ngumu sana, maneno yameunganishwa hadi mtiririko sahihi wa mada uliyoiwasilisha inaleta ugumu kuilewa.
 
Sio kweli wahaya na wasukuma sio watan hata kidogo mkuu watan wa wasukuma ni wahehe wakwere wazalamo wamakonde yaan makabira ya pwan yote ni watan wa wasukuma wala sio wahaya waacha kupotosha
 
Huyu ni mbunge wa chama gani?
Mbunge mwoga, hajiamini anajipendekeza kiasi hiki ili iweje?
 
Wanyarwanda na Wahaya ni Watani haina shida wakitaniana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
huyo jamaa sio msukuma ni msubi kabila lake
 
lwax yupo vizuri, busara ya kutosha, msg sent and delivered na wananchi wake wamemuelewa, kiufupi kapiga bao la giroud
 
2020 Mgombea urais kwa tiketi ya CCM anatokea Zanzibar mkuu
 
Hayo majibu binafsi sion kama ni ya kiongozi mzuri...ngoja niwaachie wataalam wenyewe wa siasa ya kukariri..mpinzan ni adui
 
Kiongozi mzuri shurti awe na kauli nzuri kwa watu wake.
Vinginevyo ni wa kiimla
 
Kwahyo hiyo process ya kutafuta mwekezaji na kufanya analysis zote mpk kutengeneza kiwanda na kufanya uzalishaji vinachukua siku moja???
watu waendelee kuishi kwenye tents mpk mabati yatengenezwe??
4:1(twaweza)..
 
Unafahamu mambo ya VAT ndg? Hiyo ikitolewa kwa bidhaa za ujenzi zitakazouzwa kwa Kagera ni msaada Mkubwa kwa waliofikwa na matatizo,ndo alichokuwa analenga Mb.
Changamoto ya kuwatafuta wawekezaji ni nzuri lakini hiyo ni mid/long term plan. Labda umepata mantiki ya Mb.
 
Wazungu have a saying that goes desperate time calls for desperate measures. What Mbunge was proposing to the president is a short term solution to the problem. It is important to remember that these people have gone through a lot; Some have a lost everything they have worked for therefore they need some sort of assistance in order to get their lives back on track. Requesting a tax relief on building materials was a sensible idea and ought to be commended. If the government can offer a tax holiday to foreign investors, why can't the government do the same to the victims of the natural disaster? For the life of me, I am completely baffled and saddened with Magufuli's respond. He ought to be sympathetic with his fellow wananchi. These people are still reeling from the effects of tetemeko and the last thing they need is to be rebuked. They need any kind of assistance ASAP....Building a plant is a long term solution though!
 
Huyu mtu unaweza omba gharama ya gas ipunguzwe akakwambia ujambe halafu uuze gas yako kwa bei utakayo,simuamini kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…