Lwandamina ashusha tuhuma kwa kigogo yanga, ataja mambo 6 yaliyomuondoa Yanga

Lwandamina ashusha tuhuma kwa kigogo yanga, ataja mambo 6 yaliyomuondoa Yanga

Mara kibao tu Mkuu,
Mkwassa ashafundisha Yanga zaidi ya mara moja kama Kocha Mkuu,
Ni kama Kibadeni tu kwa Simba

Nikajua kiben10


Kumbukumbu zangu zinaniambia alikuwaga kocha msaidizi wa Yanga chini ya Pluijm.

Nikumbushe lini hiyo?
 
Hapo kazi ipo, Msimbaz wakiona hii taarifa meno nje nje
 
Mkwasa anaweza kuwa kocha mzuri lakini asiwe kiongozi mzuri
Hata hivyo baadhi ya masuala kama ya fedha(mishahara nk) naona kabebeshwa mzigo ambao si wake.
 
Nikajua kiben10


Kumbukumbu zangu zinaniambia alikuwaga kocha msaidizi wa Yanga chini ya Pluijm.

Nikumbushe lini hiyo?
Hizo ni Kumbu kumbu za hivi karibuni,
Lakini alishawahi huyu
 
Nimependa hapo Mkwassa anaenda kambini, anaahidi malipo afu hatekelezi. Kama wanasiasa wetu. Safi sana

Kweli Mkwasa anatakiwa kupongezwa. Kimsingi hawezi kulipa fedha wakati klabu haina, kwa hiyo huwa anaenda kuwahamasisha kwa kuwapa matumaini halafu anaingia kitaa kusaka pesa. Tatizo sio Mkwasa, tatizo ni njaa
 
Kocha asiwasiliane na Katibu moja kwa moja. Awasiliane na technical director. Then TD awasilishe kwenye Board.
Katibu sio mtoa maamuzi.
 
Back
Top Bottom