GL, huyu jamaa ni bonge la kocha sema kaingia yanga kipindi kigumu sana hasa kifedha amejitahidi kuitengeneza team ya kutafuta matokeo kwanza,Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.
Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga
Kinachoighalimu Simba ni kutaka ushindi wa 4G kila mechi. Hii inasababisha wawachezeshe OKwi na Bocco katika kila mechi hata kwenye zile mechi za timu ndogo kabisa na kuwachomesha mahindi akina Mo Ibrahim au kuwafanya sub wa kucheza dk 10 msimu wote. Hivyo siku bwana mkubwa wa Bunyoro akikosekana kila MTU analia Okwii okwii okwi kama vyura kisimaniAta mm namkubar uyu mzambia ayseeee japo anaga amsha amsha kama makocha wengine
Alafu kwa akili hizi ndio mnalalamika mpira wa Tz hauendelei, jitafakari inaonyesha wewe ni yanga lialia wa sasa, wakosoaji wengi mno Tz kuliko wachambuzi ndio maana tupo hapa tulipo, ni heri Mungu akupige upofu na uziwi ili usifuatilie mpira kabisaKwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.
Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga
Wachezaji na mashabiki wote kwa pamoja waliathirika ki psycholojia timu kuwakosa okwi na bocco kwa pamoja. Hata mabeki waliathirika vile vile. Angekuweko Bocco Na okwi huenda magoli yangekuwa 5-3Kwa mpira wa jana tatizo halikuwa kwa kuwakosa Okwi na Boko, ila tatizo lilikuwa kwa mabeki.
Washambuliaji walifunga magoli matatu bila hao wachezaji.
Mpira una matokeo 3 lakini unapotumia 1.3 bill kusajili kila mchezaji mzuri kwenye ligi hata kama hutamtumia japo hata kwa 30% maana yake unatafuta matokeo ya aina 1 tu yaani kushinda timu nyingine kwa 4G.Alafu kwa akili hizi ndio mnalalamika mpira wa Tz hauendelei, jitafakari inaonyesha wewe ni yanga lialia wa sasa, wakosoaji wengi mno Tz kuliko wachambuzi ndio maana tupo hapa tulipo, ni heri Mungu akupige upofu na uziwi ili usifuatilie mpira kabisa
Kocha wa bei rahisi huyo..achen upopomaKwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.
Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga