Lwandamina ni zaidi ya kocha

Lwandamina ni zaidi ya kocha

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.

Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga
 
QUOTE="kavulata, post: 26024179, member: 96015"]Mmerundika wachezaji wengi wazuri kwenye benchi timu nzima ikimtegemea Okwi kila mechi kama baba yenu, akipata mafua timu haipati matokeo.[/QUOTE]Yaan mwaka huu Sumba bila Okwi na Bocco is equal Sumba Kufilwa matakoni
 
Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.

Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga
GL, huyu jamaa ni bonge la kocha sema kaingia yanga kipindi kigumu sana hasa kifedha amejitahidi kuitengeneza team ya kutafuta matokeo kwanza,
Simba wako vzr sana ila wanamapungufu sana kwenye wachezaji wambele ambao ni mbadala wa okwi na Bocko na kama wataendelea kukosekana zaidi ya mechi tano watachezea kipigo mechi nyingi tu.
 
Ata mm namkubar uyu mzambia ayseeee japo anaga amsha amsha kama makocha wengine
 
Ata mm namkubar uyu mzambia ayseeee japo anaga amsha amsha kama makocha wengine
Kinachoighalimu Simba ni kutaka ushindi wa 4G kila mechi. Hii inasababisha wawachezeshe OKwi na Bocco katika kila mechi hata kwenye zile mechi za timu ndogo kabisa na kuwachomesha mahindi akina Mo Ibrahim au kuwafanya sub wa kucheza dk 10 msimu wote. Hivyo siku bwana mkubwa wa Bunyoro akikosekana kila MTU analia Okwii okwii okwi kama vyura kisimani

Wachezaji wengi wazuri wanawachanganya makocha.
 
Simba wana akili ndogo kweli eti waliwaweka benchi Okwi na Boco kisa wana mechi ngumu na waharabu wamepoteza point 2 kwa sababu ya ujinga wanafikiri mwarabu ni mbao 4G subutu yao nyumbu hao.
 
Kwa mpira wa jana tatizo halikuwa kwa kuwakosa Okwi na Boko, ila tatizo lilikuwa kwa mabeki.
Washambuliaji walifunga magoli matatu bila hao wachezaji.
 
Acheni kukariri jamani, Simba bila Okwi na Boko imefunga bao 3, Mavugo na Gyan pekee wamefunga mabao 2. Mnataka nini tena zaidi ya hicho kutoka kwa mshambuliaji?

Udhaifu wa Simba jana ulikuwa kwenye umakini na sio kiwango, lkn pia tunafanya makosa sana kuivunjia heshima Stand United. Ilicheza vizuri hasa kwenye matumizi ya nafasi na kuingilia pasi.Moja ya timu nzuri sana mzunguko huu. Kama unabisha waulize Singida United na Mbao FC
 
Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.

Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga
Alafu kwa akili hizi ndio mnalalamika mpira wa Tz hauendelei, jitafakari inaonyesha wewe ni yanga lialia wa sasa, wakosoaji wengi mno Tz kuliko wachambuzi ndio maana tupo hapa tulipo, ni heri Mungu akupige upofu na uziwi ili usifuatilie mpira kabisa
 
Kwa mpira wa jana tatizo halikuwa kwa kuwakosa Okwi na Boko, ila tatizo lilikuwa kwa mabeki.
Washambuliaji walifunga magoli matatu bila hao wachezaji.
Wachezaji na mashabiki wote kwa pamoja waliathirika ki psycholojia timu kuwakosa okwi na bocco kwa pamoja. Hata mabeki waliathirika vile vile. Angekuweko Bocco Na okwi huenda magoli yangekuwa 5-3
 
Alafu kwa akili hizi ndio mnalalamika mpira wa Tz hauendelei, jitafakari inaonyesha wewe ni yanga lialia wa sasa, wakosoaji wengi mno Tz kuliko wachambuzi ndio maana tupo hapa tulipo, ni heri Mungu akupige upofu na uziwi ili usifuatilie mpira kabisa
Mpira una matokeo 3 lakini unapotumia 1.3 bill kusajili kila mchezaji mzuri kwenye ligi hata kama hutamtumia japo hata kwa 30% maana yake unatafuta matokeo ya aina 1 tu yaani kushinda timu nyingine kwa 4G.

Hivi Simba ingekuwa na ukata kama Yanga na na majeruhi 7 ingekuwaje. Hapa wachezaji kwenye mechi ile walikosa kujiamini kutokana na kuwaza 1. Mechi na All Masry, kuifikiria Yanga, na kukosekana kwa wachezaji wenzao "tegemeo" uwanjani.

Hata kocha Djuma alisema hadharani kuwa hamuamini Mavugo kuliko Bocco na Okwi japokuwa ni mrundi mwenzake. Sasa ghafla akamuamini from no where, hivyo kila mchezaji alicheza kwa tension kubwa ili Ku prove kuwa hata wao bila Okwi wanaweza
 
Hao simba walifungwa? Yapo matokeo ya aina ngapi ktk mpira wa miguu? Acha ushamba ndara wewe.
 
Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu inadumaa.

Simba kama kawaida yake imeanza kuukosa ubingwa poolepoole. LAZiMA itaukosa hata mwaka huu kwasababu ya kuipania Yanga
Kocha wa bei rahisi huyo..achen upopoma
 
Back
Top Bottom