Lwandamina ni zaidi ya kocha

Lwandamina ni zaidi ya kocha

Ukiangalia kwenye ‘bench’ la simba unaona vipaji vya hataree kwelikweli, lakini havipewi nafasi kwenye ‘first eleven’ ya hanz popo, wakitaka kwenda yanga wanapigwa pini ....
 
Ni sawa na Yanga bila Chirwa na Tshishimbi inakuwa nafuu hata timu ya maji maji
 
Kwa Yanga hata asipokuwepo nani wanashinda na kikosi chao dhaifu.
Kwa hiyo unataka kuniambia katika mchezo walio cheza Yanga na Mbao walishinda pamoja na kikosi Chao dhaifu? Vipi mchezo kati ya Yanga na Mwadui pale Taifa walishinda? Au kipindi kile kikosi Chao kulikuwa na nguvu?
 
Kwa Yanga hata asipokuwepo nani wanashinda na kikosi chao dhaifu.
Ni kitu gani sasa kinachowafanya Yanga wasiongoze ligi hadi sasa? Maana wana mechi mbili wanazotakiwa washinde ili kuwa sawa point na Simba! Tena hapo bado Mnyama atakuwa anaongoza kwa Idadi ya magoli na wakati wote huo muwe mnaomba simba wewe wanatoa droo au wanafungwa!
 
Mleta uzi ni dhahiri umekosa weledi wa mpira kama siyo sportsmanship.
Ulipaswa ujenge hoja kwa mifano na ushahidi ambao hauko biased.
Lakini kwa hapa ni dhahiri ulilenga uishambulie Simba kwa matokeo ya jana.
Kwangu mimi naona hauko sahihi.
 
Mmerundika wachezaji wengi wazuri kwenye benchi timu nzima ikimtegemea Okwi kila mechi kama baba yenu, akipata mafua timu haipati matokeo.
Football Results:
1.winning
2.loosing
3.draw
Kwa msingi huo, hakuna timu itakayokosa matokeo.
Umekurupuka.
 
Simba wana akili ndogo kweli eti waliwaweka benchi Okwi na Boco kisa wana mechi ngumu na waharabu wamepoteza point 2 kwa sababu ya ujinga wanafikiri mwarabu ni mbao 4G subutu yao nyumbu hao.
Hiyo inaitwa game plan mkuu.Okwi na Bocco hawakuwa kwenye plan ya benchi la ufundi kwa mchezo wa jana.
Timu huwa inaorodhesha wachezaji 18 kwa mchezo mmoja.11 wanaanza na 7 wanakuwa benchi.
Kati ya saba; mmoja golikipa, mabeki wawili, viungo wawili na strikers wawili.
Kocha anaruhusiwa kufanya substitution wachezaji watatu kwa mchezo (ingawa siyo lazima) pale atakapoona inafaa au itakapomlazimu.
 
Acheni kukariri jamani, Simba bila Okwi na Boko imefunga bao 3, Mavugo na Gyan pekee wamefunga mabao 2. Mnataka nini tena zaidi ya hicho kutoka kwa mshambuliaji?

Udhaifu wa Simba jana ulikuwa kwenye umakini na sio kiwango, lkn pia tunafanya makosa sana kuivunjia heshima Stand United. Ilicheza vizuri hasa kwenye matumizi ya nafasi na kuingilia pasi.Moja ya timu nzuri sana mzunguko huu. Kama unabisha waulize Singida United na Mbao FC
Sina comment mkuu[emoji113]
 
Mleta uzi ni dhahiri umekosa weledi wa mpira kama siyo sportsmanship.
Ulipaswa ujenge hoja kwa mifano na ushahidi ambao hauko biased.
Lakini kwa hapa ni dhahiri ulilenga uishambulie Simba kwa matokeo ya jana.
Kwangu mimi naona hauko sahihi.
Mkuu wala usihofu, mimi nimefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa pamoja na Simba kuwa na kikosi kipana msimu huu lakini wanajiaminisha kuwa Okwi lazima acheze ili simba ipate matokeo. Ushahidi ni kutoa droo 2 mechi zote bila okwi
 
Unasemaje kuhusu kutoa droo na Mwadui huku Okwi akicheza dkk zote na Simba kushinda 2 bila dhidi ya Ndanda huku Okwi akiwa hayupo hata benchi?
 
Unasemaje kuhusu kutoa droo na Mwadui huku Okwi akicheza dkk zote na Simba kushinda 2 bila dhidi ya Ndanda huku Okwi akiwa hayupo hata benchi?
Okwi yuko smart, viwanja vyenye visiki hapendi kujiumiza.
 
Back
Top Bottom