Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Yanga hata asipokuwepo nani wanashinda na kikosi chao dhaifu.Ni sawa na Yanga bila Chirwa na Tshishimbi inakuwa nafuu hata timu ya maji maji
Kwa hiyo unataka kuniambia katika mchezo walio cheza Yanga na Mbao walishinda pamoja na kikosi Chao dhaifu? Vipi mchezo kati ya Yanga na Mwadui pale Taifa walishinda? Au kipindi kile kikosi Chao kulikuwa na nguvu?Kwa Yanga hata asipokuwepo nani wanashinda na kikosi chao dhaifu.
Ni kitu gani sasa kinachowafanya Yanga wasiongoze ligi hadi sasa? Maana wana mechi mbili wanazotakiwa washinde ili kuwa sawa point na Simba! Tena hapo bado Mnyama atakuwa anaongoza kwa Idadi ya magoli na wakati wote huo muwe mnaomba simba wewe wanatoa droo au wanafungwa!Kwa Yanga hata asipokuwepo nani wanashinda na kikosi chao dhaifu.
Football Results:Mmerundika wachezaji wengi wazuri kwenye benchi timu nzima ikimtegemea Okwi kila mechi kama baba yenu, akipata mafua timu haipati matokeo.
Wengine wanafuata rangi ya jezi tu.Usiumize kichwa mkuu.Labda si elewi forward si imeshinda bao tatu mngesema mabeki hapo sawa.
Hiyo inaitwa game plan mkuu.Okwi na Bocco hawakuwa kwenye plan ya benchi la ufundi kwa mchezo wa jana.Simba wana akili ndogo kweli eti waliwaweka benchi Okwi na Boco kisa wana mechi ngumu na waharabu wamepoteza point 2 kwa sababu ya ujinga wanafikiri mwarabu ni mbao 4G subutu yao nyumbu hao.
Sina comment mkuu[emoji113]Acheni kukariri jamani, Simba bila Okwi na Boko imefunga bao 3, Mavugo na Gyan pekee wamefunga mabao 2. Mnataka nini tena zaidi ya hicho kutoka kwa mshambuliaji?
Udhaifu wa Simba jana ulikuwa kwenye umakini na sio kiwango, lkn pia tunafanya makosa sana kuivunjia heshima Stand United. Ilicheza vizuri hasa kwenye matumizi ya nafasi na kuingilia pasi.Moja ya timu nzuri sana mzunguko huu. Kama unabisha waulize Singida United na Mbao FC
Mkuu wala usihofu, mimi nimefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa pamoja na Simba kuwa na kikosi kipana msimu huu lakini wanajiaminisha kuwa Okwi lazima acheze ili simba ipate matokeo. Ushahidi ni kutoa droo 2 mechi zote bila okwiMleta uzi ni dhahiri umekosa weledi wa mpira kama siyo sportsmanship.
Ulipaswa ujenge hoja kwa mifano na ushahidi ambao hauko biased.
Lakini kwa hapa ni dhahiri ulilenga uishambulie Simba kwa matokeo ya jana.
Kwangu mimi naona hauko sahihi.
Mkuu wala usihofu, mimi nimefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa pamoja na Simba kuwa na kikosi kipana msimu huu lakini wanajiaminisha kuwa Okwi lazima acheze ili simba ipate matokeo. Ushahidi ni kutoa droo 2 mechi zote bila okwi
Forward ikipunguza mashambulizi,team pinzani hupata nguvu na kuanza counter attacks. Mtapigwa.Labda si elewi forward si imeshinda bao tatu mngesema mabeki hapo sawa.