Lyanga anazingua Sana kwa kupoteza mipira na chenga zake za kijinga

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo.

Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe hawezi.

Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga

Tumeshinda hii mechi pengine tokana na game plan mbovu ya Namibia au bahati tu Ila huko mbele tukija kutana na timu za Afrika magharibi tutatoka Kama starting eleven itakuwa na watu Kama huyu Lyanga.

Hatatutaki mbwembwe uwanjanj tunataka magoli.

Bila unafiki wala uzandiki
 
Ndayiragije huyu kijana wako lyanga ataicost timu mechi zijazo .

Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo ,kwanza chenga zenyewe hawezi

Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga

Tumeshinda hii mechi pengine tokana na game plan mbovu ya Namibia au bahati tu Ila huko mbele tukija kutana na timu za Africa magharibi tutatoka Kama starting eleven itakuwa na watu Kama huyu Lyanga

Hatatutaki mbwembwe uwanjanj tunataka magoli .

Bila unafiki wala uzandiki
Kwa mpira huu sioni namna tunaweza chomoka kwa Guinea labda mizimu ya unyanyembe ifanya kazi haswa.
 
Mkuu nakuunga mkono kwa aslimia zote,anazingua sana jamaa nafasi ya kutoa pasi anayo lakini yeye anataka kujitia Messi,si tunataka magoli hizo chenga akapige VPL
Yaani anaboa Sana Jamaa

Akipata Moira anakimbilia kwenye Kona na kuanza picha chenga za kijinga .

Halafu huwa anaangalia Moira chini yaani haangalii wwnzake wako wapi ndio maana huwa anapoteza mipira kijinga

Kuna yule nchimbi inaonekana hawezi mudu dakika 90 ajabu Jamaa wamemchezesha wakati mchezaji amejichokea nae anapewa mipira Ila anapiga fyongo tu .

Stars bhana[emoji57]
 
Kumbe wote tumeona sawa anapiteza mipira kijinga halafu hakabi upumbavu wake ulitaka kutufanya tufungwe goli
 
Watanzania kwa lawama hamjambo sasa si bora yule kuliko waliopo benchi, kwanza wachezaji wote tu wanaruka ruka wanapoteza mipira hawana umakini mwenzake akiwa na mpira badala ya kuomba nafasi yeye anaganda tu. Timu hii hata aje nani tutakuwa tunashinda kwa kudra za mwenyezi Mungu tu
 
Kwa kikosi hiki bora tutoke mapema.... maana tukibahatisha kusonga mbele....tutaenda kutia aibu....timu ni mbovu idara zote....kocha timu imemshinda.
 
Eti wachezaji wasitokane na Yanga na Simba!!! Ujuaji mwingine unaleta sana fedheha! Na haya ndiyo matokeo yake.

Sasa si ubadili mfumo kwanza kwa kupeleka vijana wengi wazawa kwenye Academy za Ulaya na pia kuziboresha timu za majeshi na pia zile za mamlaka ili hizo Simba na Yanga zikose nguvu ya kuwa na wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa!

Hispania kwenyewe wachezaji wao wengi wa Timu ya Taifa wanatoka Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid! Iweje nongwa kwa Simba na Yanga kutoa wachezaji wengi iwapo wana sifa zinazo stahili?

Huwa nakerwa sana kuwa na kiongozi asiye na mipaka kwa wasaidizi wake. Yaani kila sehemu unaingilia na kuvuruga vuruga tu! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na wasaidizi au mgawanyo wamadaraka?
 
Kwa kikosi hiki bora tutoke mapema.... maana tukibahatisha kusonga mbele....tutaenda kutia aibu....timu ni mbovu idara zote....kocha timu imemshinda.
Hahahaha tunaweza weka record ya karine
 
Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo.

Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe hawezi.

Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga

Tumeshinda hii mechi pengine tokana na game plan mbovu ya Namibia au bahati tu Ila huko mbele tukija kutana na timu za Afrika magharibi tutatoka Kama starting eleven itakuwa na watu Kama huyu Lyanga.

Hatatutaki mbwembwe uwanjanj tunataka magoli.

Bila unafiki wala uzandiki
Atakuwa shemejie kocha...
 
Eti wachezaji wasitokane na Yanga na Simba!!! Ujuaji mwingine unaleta sana fedheha! Na haya ndiyo matokeo yake.

Sasa si ubadili mfumo kwanza kwa kupeleka vijana wengi wazawa kwenye Academy za Ulaya na pia kuziboresha timu za majeshi na pia zile za mamlaka ili hizo Simba na Yanga zikose nguvu ya kuwa na wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa!

Hispania kwenyewe wachezaji wao wengi wa Timu ya Taifa wanatoka Barceloba, Real Madrid na Atletico Madrid! Iweje nongwa kwa Simba na Yanga kutoa wachezaji wengi iwapo wana sifa zinazo stahili?

Huwa nakerwa sana kuwa na kiongozi asiye na mipaka kwa wasaidizi wake. Yaani kila sehemu unaingilia na kuvuruga vuruga tu! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na wasaidizi au mgawanyo wamadaraka?
Sijasikia wachambuzi wakiongelea hili swala wanajifanya hawaoni
 
Naona pengo la Boko.

Nadhani Boko ni mtu sahihi sana pale kati, ila majeraha yametuathili watanzania.
 
Back
Top Bottom