Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo.
Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe hawezi.
Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga
Tumeshinda hii mechi pengine tokana na game plan mbovu ya Namibia au bahati tu Ila huko mbele tukija kutana na timu za Afrika magharibi tutatoka Kama starting eleven itakuwa na watu Kama huyu Lyanga.
Hatatutaki mbwembwe uwanjanj tunataka magoli.
Bila unafiki wala uzandiki