Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kwa mpira huu sioni namna tunaweza chomoka kwa Guinea labda mizimu ya unyanyembe ifanya kazi haswa.Ndayiragije huyu kijana wako lyanga ataicost timu mechi zijazo .
Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo ,kwanza chenga zenyewe hawezi
Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga
Tumeshinda hii mechi pengine tokana na game plan mbovu ya Namibia au bahati tu Ila huko mbele tukija kutana na timu za Africa magharibi tutatoka Kama starting eleven itakuwa na watu Kama huyu Lyanga
Hatatutaki mbwembwe uwanjanj tunataka magoli .
Bila unafiki wala uzandiki
Yaani anaboa Sana JamaaMkuu nakuunga mkono kwa aslimia zote,anazingua sana jamaa nafasi ya kutoa pasi anayo lakini yeye anataka kujitia Messi,si tunataka magoli hizo chenga akapige VPL
Kumbe wote tumeona sawa anapiteza mipira kijinga halafu hakabi upumbavu wake ulitaka kutufanya tufungwe goliYaani anaboa Sana Jamaa
Akipata Moira anakimbilia kwenye Kona na kuanza picha chenga za kijinga .
Halafu huwa anaangalia Moira chini yaani haangalii wwnzake wako wapi ndio maana huwa anapoteza mipira kijinga
Kuna yule nchimbi inaonekana hawezi mudu dakika 90 ajabu Jamaa wamemchezesha wakati mchezaji amejichokea nae anapewa mipira Ila anapiga fyongo tu .
Stars bhana[emoji57]
Daaah afadhali mkuu umeona yaani alikuwa ananikera sanaKumbe wote tumeona sawa anapiteza mipira kijinga halafu hakabi upumbavu wake ulitaka kutufanya tufungwe goli
Hahahaha tunaweza weka record ya karineKwa kikosi hiki bora tutoke mapema.... maana tukibahatisha kusonga mbele....tutaenda kutia aibu....timu ni mbovu idara zote....kocha timu imemshinda.
Mizimu ya kwetu....ha haaaa..Kwa mpira huu sioni namna tunaweza chomoka kwa Guinea labda mizimu ya unyanyembe ifanya kazi haswa.
Atakuwa shemejie kocha...Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo.
Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe hawezi.
Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga
Tumeshinda hii mechi pengine tokana na game plan mbovu ya Namibia au bahati tu Ila huko mbele tukija kutana na timu za Afrika magharibi tutatoka Kama starting eleven itakuwa na watu Kama huyu Lyanga.
Hatatutaki mbwembwe uwanjanj tunataka magoli.
Bila unafiki wala uzandiki
Sijasikia wachambuzi wakiongelea hili swala wanajifanya hawaoniEti wachezaji wasitokane na Yanga na Simba!!! Ujuaji mwingine unaleta sana fedheha! Na haya ndiyo matokeo yake.
Sasa si ubadili mfumo kwanza kwa kupeleka vijana wengi wazawa kwenye Academy za Ulaya na pia kuziboresha timu za majeshi na pia zile za mamlaka ili hizo Simba na Yanga zikose nguvu ya kuwa na wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa!
Hispania kwenyewe wachezaji wao wengi wa Timu ya Taifa wanatoka Barceloba, Real Madrid na Atletico Madrid! Iweje nongwa kwa Simba na Yanga kutoa wachezaji wengi iwapo wana sifa zinazo stahili?
Huwa nakerwa sana kuwa na kiongozi asiye na mipaka kwa wasaidizi wake. Yaani kila sehemu unaingilia na kuvuruga vuruga tu! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na wasaidizi au mgawanyo wamadaraka?
Wanamgwaya! Mzee ni mvurugaji sana wa vitu vingi kutokana tu na ujuaji wake wa kila kitu.Sijasikia wachambuzi wakiongelea hili swala wanajifanya hawaoni