Lyanga anazingua Sana kwa kupoteza mipira na chenga zake za kijinga

Kuna kiongozi mkubwa tu aliwahi kusema mpira wa Tanzania unaharibiwa na Simba na Yanga kwa hiyo tukitaka kufanikiwa kama Taifa tuziepuke. Nikamwangalia nikasema "Mungu Mrehemu".
 
Kuna wajinga walisapoti kauli ya huyo kiongozi tena kwa makofi mengi sana.
 
Lyanga na Manula si wachezaji wa kimataifa....warudishwe nyumbani tu
 
Kwani moira ndio nini
 
Tatizo linakuja kwa ushabiki ndio.wanapoboa timu ya Taifa inaleta usimba na uyanga hap.si bora hvy il.waonekan hata wasipokuwap kuna wengine watacheza ili wakipata nafasi usimba na uyanga uishee nje ya uwanja
 
Sijateuliwa na JF au sijajitangaza hapa kuwa Mtabiri wenu sawa? Wanafiki wakubwa mnajifanya Kuulizia ili nikikosea tu muanze Kuninanga vibaya.
Mkuu si hata mechi ya jana ulituambia tunashinda na tukashinda kweli kaka?
 
Mkuu si hata mechi ya jana ulituambia tunashinda na tukashinda kweli kaka?
Nina uhakika wengi wenu mlikuwa mnadhani natania na mlikuwa mnasubiria isiwe kama nilivyosema ila imekuwa vile vile. Kuna Watu wamenuna!
 
Lyanga na Nchimbi wote hamna kitu pale, Nchimbi uwezo mdogo ila anajitahidi kujituma kwa nguvu zote, Lyanga hajitambui na hii nafasi baada ya CHAN hataipata tena.

Ni baada mbaya hakuna mbadala ya hawa vijana kwenye kikosi kilichopo Cameroon ukimtoa Boko majeruhi ila kwenye kikosi kamili cha AFCON hawa wote wawili hawawezi kupata namba.
 
kweli tuna lawana..., sasa walioko bench wafanye nini..., wasaidie kurudisha mipira uwanjani ikitoka nje ?
 
Kosa kubwa la Lyanga na ambalo waalimu wake hawamrekebishi ni akipewa pasi focus yake inakuwa kwenye mpira tu na pale anapokuja kupata akili ya kuangalia nafasi inakuwa too late.

Mshambuliaji anapokea pasi anaanza kupiga chenga kabla ya kuangalia positions za wenzake ili chenga iwe ni mbadala wa kutoa nafasi zaidi kwake au wenzake.

Asiwe anakimbia huku anaangalia chini. Otherwise ni mchezaji mzuri sana, anahitaji Ushauri tu na nashangaa mtu kama Mgunda anashindwa vipi kubadili hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…