GE2025 Lyata: Uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutarajie Tanzania iliyogawika

GE2025 Lyata: Uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutarajie Tanzania iliyogawika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Sikonge, Felix Lyata amesema kama uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutegemee kuiona Tanzania iliyo gawika kwasababu itatokea kundi la watu litasema huyu ni Rais wetu, mbunge wetu kwa sababu tulimchagua sisi na wengine watasema huyu hatukumchagua sisi kila mtu ataongea lugha yake.

"Ili taifa liendelee lazima liwe ni taifa moja liwe na sauti moja na lugha moja na hiyo lugha moja na sauti moja vinapatikana panapokuwa na maelewano na makubaliano"


 
Hilo liko wazi. Kwa mfano mimi Rais wangu ni Tundu Lissu! Na hilo halina mjadala. Huyu ndiye Rais wa Tanganyika yangu huru, na isiyo fungamana na wale kupe wasio na visogo..
 
Sa100 na Kikwete wanajinunulisha Tanzania kwamabavu ,ngoja tuone atakachotutendea Mungu wetu asiyeshindwa .

Nasali Rozal,sijawahi kukosa jibu mbele ya msalaba
 
Back
Top Bottom