Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
We tuambie kafa Basi Ila usiihusishe chademaNdio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaChadema huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema ni msaliti.
View attachment 1963125
Acha kumchuria Mzee wetu Lyatonga inji(nchi) hii bado inamuhitajiNdio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaChadema huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema ni msaliti.
View attachment 1963125
Amefiwa na mkewe yeye bado yuko ngangali...We
We tuambie kafa Basi Ila usiihusishe chadema
Ndo maana akapewa cheo na yule chizi mwendazakeNdio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaChadema huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema ni msaliti.
View attachment 1963125
Mbona unatuponda ?Watakuambia mashujaa wa rushwa ni wale waliopokea rushwa wa yule waliyemuita fisadi papa hadi wakamuuzia nafasi ya kugombea urais
2005 - 2014: Tundu, Mbowe na wenzao
View attachment 1963130
View attachment 1963131
Labda Chama chake Rafiki kikubali kinachompa mkate wa kila sikuNdio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaChadema huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema ni msaliti.
View attachment 1963125
Hili ndio kosa tunalofanya. Kuwaona Tlp ni wasaliti.Labda Chama chake Rafiki kikubali kinachompa mkate wa kila siku
Mbona unatuponda ?