Lyenda, Lema, na Diaspora mmetisha sana kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CHADEMA

Lyenda, Lema, na Diaspora mmetisha sana kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CHADEMA

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Huu uchaguzi ndani ya CHADEMA umetuonyesha sura nyingi sana chanya na ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA.

Huwezi kuzungumzia ushindi wa Lissu bila kutaja timu ya kampeni ya Lissu iliyopiga kazi ground kimyakimya na kwa dhahiri kuwezesha Ushindi wa Lissu.

Katika wengi waliowezesha ushindi kuna hawa wafuatao.

Kijana LYENDA.
Huyu alipiga kazi utadhani mwali ni wake, huyu kijana alihusika ktk mengi ila ya dhahiri tuliyomuona nayo ilikuwa ni kuandaa press conference ya Lema, kuorganise mkutano wa wenyeviti wa mikoa na wajumbe mbalimbali kumuunga mkono Lissu. Poa alishiriki mdahalo
 
Back
Top Bottom