Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

Mkuu 'Newforce' (mbangaizaji) - Mbowe na mabwanyenye wenzake siyo ma-mbumbu kama unavyo fikiri.
Wanapo toa hiyo Tsh 2 milioni; wana hakikisha hiyo kura ina patikana kwa lazima, na siyo kwa hiari.

Kwa hiyo angalieni njia wanazo tumia kuhakikisha kila anaye pata hizo pesa kura yake inapatikana kwa lazima.
Huko ndiko baneni; wakose mwanya huo.
Chemsheni bongo kujuwa ni njia zipi wanazo weza kuzitumia kuhakikisha pesa yao haipotei, bila ya kupata kura.

Kwa mfano: Pesa hizi mara nyingi zinatumwa kwa njia za mtandao. Ahadi yao kwa wapiga kura hao inaweza kuwa hivi:
Mpiga kura anaahidiwa hiyo pesa. Pesa inatumwa mara tu mpiga kura anapo weka alama kwenye karatasi ya kura na kuipiga picha karatasi hiyo na kuiwasilisha kwa malipo yaliyo ahidiwa.
 
Simu zisiruhusiwe ndani ya Ukumbi nadhani ni jambo jema
 
Simu zisiruhusiwe ndani ya Ukumbi nadhani ni jambo jema
Utoto huo kama wapiga kura wanamtaka Lisu au Mbowe watawapa tu wawe na simu au la

Uchaguzi mkuu mbona tunaingia na simu vituo vya kupigia kura sembuse huo wa chama .Acha kutapatapa wewe

Kibaraka wa mabeberu Lisu wenu atashindwa kura mapema sana
 
Ni vyema umejitambulisha mwenyewe, kwamba ni takataka.
 
With due respect, kwanini Timu Lissu na Lissu mwenyewe MNAROPOKA SANA!?
 
Uchaguzi ni kitu cha kikatiba

Hayo ya kutoingia na simu kwenye uchaguzi hayamo kwenye katiba ya Chadema kwenye vipengele vya katiba vihusuvyo uchaguzi labda katiba ibadilishwe
Katiba hutungiwa "kanuni", "taratibu" au sheria, au hujui?
 
Hawezi kupiga picha kwasababu hawaruhusiwi kuingia na simu zao kwenye ballot box, pia iwakati wakupiga wanapigia kwenye open space sio kwa kujificha.
 
Hawezi kupiga picha kwasababu hawaruhusiwi kuingia na simu zao kwenye ballot box, pia iwakati wakupiga wanapigia kwenye open space sio kwa kujificha.
Ahsante kwa taarifa, mkuu 'Covax'.
Kwa hiyo, kama hali ndiyo hiyo ulivyo ieleza, hapo tia vema; tuendelee na kugundua mbinu zingine zinazo weza kuwalazimisha wapiga kura "kuuza kura zao"; na tutafute njia za kuzuia uhalifu huo.

Wajumbe wanapo kuja Dar; kwa muda wote wanao kuwa hapo watapata vishawishi vikubwa kuuza kura zao. Mbali ya elimu ya kuwasaidia kupambana na ushawishi huu; nini cha ziada kinacho weza kuwasaidia zaidi kuvishinda vishawishi.
Tsh 2 milioni ni pesa ndogo kwa wengine; lakini ni pesa shawishi sana kwa baadhi ya watu; pamoja na dhamira yao kuwasuta waikatae.
 
Chadema inafukuta kweli kweli.....huu uchaguzi utakiacha hiki chama salama kweli ?

JokaKuu zitto junior imhotep Retired Fundi Mchundo Pascal Mayalla Nguruvi3
 
Utoto huo kama wapiga kura wanamtaka Lisu au Mbowe watawapa tu wawe na simu au la

Uchaguzi mkuu mbona tunaingia na simu vituo vya kupigia kura sembuse huo wa chama .Acha kutapatapa wewe

Kibaraka wa mabeberu Lisu wenu atashindwa kura mapema sana
Mamayenu huko ccm kila siku Yuko Kwa mabeberu akizurura kuombaomba kama kichaa anayetafuta makopo yake yaliyopotea bwege kabisa.
 
Pesa za mama Abdul zinafanya kazi.
Wajumbe mkifikiwa kuleni hizo pesa lakini kura mpeni Lisu ili mkinusuru chama chenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…