Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

Hapa Mbowe ndio ataharibu kabisa kila kitu
 
Sasa mtu akiamua kuuza kura yake utamlazimisha? hiyo

inaonesha umeshindwa kumpa elimu kuhusu jambo hilo
 
Sasa mtu akiamua kuuza kura yake utamlazimisha? hiyo

inaonesha umeshindwa kumpa elimu kuhusu jambo hilo
Elimu ni sehemu moja tu; kwani pamoja na kuwa na ufahhamu wa ubaya wa rushwa, uhitaji mkubwa alio nao muhusika unaweza kuwa kikwazo kwa mtu huyo kuzuia rushwa.

Hata hivyo, hakuna mbadala wa watu kuelezwa hatari kubwa inayo ambatana na kuuza HAKI ya maamuzi muhimu yanayo takiwa kufanywa ili kuleta manufaa ya muda mrefu na kwa wengi; kuliko kukidhi mahitaji ya muda mfupi.
 
Pesa ipo ya kutosha
 
Mbowe anagawa rushwa kila mahali
 
LYENDA alikuwa mkweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…