M-23 waizingira Goma

M-23 waizingira Goma

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Waasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma.
Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka.
Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano.
M+23 wanawaamboa wanajeshi wa SADC na MONUSCO kwamba huu ugomvi hauwahusu.
Mr. Gutterres is asking both sides to show restraint.
So what is happening here. Lands Donald Trump alipochaguliwa,this dormant war will come to life.
What is happening?
I wish I knew more about military strategy.
M-23 wakishambulia will SAMIDRC defend the citizens or will itake a strategic withdrawal?
It is unthinkable kwa M- 23 kuiteka Goma.
Nilikuwepo kule Goma 2000 na niliona ndege za cargo zilivyokuwa zinatua airport kila baada ya dakika tano.
 
Hilo linchi ni likubwa sana, management imeshawashinda serikali ya DRC, AU wameshindwa kutoa msaada, M23 anatamba day and night.
Serikali ya DRC haina lakufanya zaidi ya kutegemea huruma ya maharamia.

Binafsi nimekuwepo Goma, Masisi, Bunagana, Bukavu, Rutshuru, kabare, nyiragongo, walikale, Buluko, kalehe, lubero nk. Hili linchi likubwa sana waligawe tu mambo yaishe.
 
Waasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma.
Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka.
Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano.
M+23 wanawaamboa wanajeshi wa SADC na MONUSCO kwamba huu ugomvi hauwahusu.
Mr. Gutterres is asking both sides to show restraint.
So what is happening here. Lands Donald Trump alipochaguliwa,this dormant war will come to life.
What is happening?
I wish I knew more about military strategy.
M-23 wakishambulia will SAMIDRC defend the citizens or will itake a strategic withdrawal?
It is unthinkable kwa M- 23 kuiteka Goma.
Nilikuwepo kule Goma 2000 na niliona ndege za cargo zilivyokuwa zinatua airport kila baada ya dakika tano.
Kuchukua nini Hapo airport..cargo gani
 
Ni kweli huyo aliekufa kutokana na majeraha mengi ya risasi akiwa frontline ni meja jenerali Peter Cirimwani.

Alikuwa amekwenda mstari huo wa mbele kuangalia ufanisi wa kazi yao hapo.

Kwahiyo hadi sasa M-23 wamechukua Minova, mji wenye bandari ya kistratejia ya ziwa Kivu, Sake, pamoja na miji ya Katale na Masisi iliyoko magharibi mwa Goma.

Ijumaa vita kali ya majeshi ya Congo DRC na waasi wa M-23 ilikuwa kwenye mji wa Kibumba ulioko kaskazini mwa Goma na karibu na Sake.
 
Waasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma.
Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka.
Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano.
M+23 wanawaamboa wanajeshi wa SADC na MONUSCO kwamba huu ugomvi hauwahusu.
Mr. Gutterres is asking both sides to show restraint.
So what is happening here. Lands Donald Trump alipochaguliwa,this dormant war will come to life.
What is happening?
I wish I knew more about military strategy.
M-23 wakishambulia will SAMIDRC defend the citizens or will itake a strategic withdrawal?
It is unthinkable kwa M- 23 kuiteka Goma.
Nilikuwepo kule Goma 2000 na niliona ndege za cargo zilivyokuwa zinatua airport kila baada ya dakika tano.
Mkuu, mie niliongelea jambo hilo katika uchambuzi wangu hapa: Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyike

Lakini military stretegy yao hawa waasi ni kuizunguruka Goma yote baada ya kuteka miji yote inoizunguka yaani Sake, Minova, Katale na Masisi. Minova ni mji wenye bandari muhimu ya kwenye ziwa Kivu. Kwahiyo waasi wateka miji, vitongoji na kisha kuizunguruka kabisa Goma.

Hivyo kuizunguruka Goma ni Sake na Kibumba (ambako ndo wapigana vikali mida hii) kwa upande wa magharibi.

Kaulimbiu yaani kuwasaidia watutsi wasibaguliwe ni mwamvuli wa malengo makuu ya Rwanda kuichukua Goma na kuwa sehemu yake ya kujinufaisha kiuchumi na kisiasa.

Mwisho Goma itakuwa ni sehemu ya Congo wa uwingi wa raia wa kitutsi na baadae itarasimishwa kuwa moja ya miji ya Rwanda.

Ukumbuke (au kama ulikuwa haufahamu) mpaka sasa maeneo yote yalo chini ya M-23 kuna mifumo yao ya kukusanya kodi, kuna serikali yao na pia ndo wanahodhi na kutumia madini yote yalo katika maeneo hayo.

Haya yote yaonekana yameidhinishwa na wakubwa wa Dunia na Rwanda imekuwa ni client state wao, hivyo watafanya watakavyo na hakuna chochote kitatokea na ndo maana wamesema shughuli yao hiyo haiwahusu si SADC wala AU na hata UN.
 
Mimi nina ndugu warudi, mtusi alioa kwetu,hakuna chuki yoyote kwa watusi toka kwangu,halafu kwa nini umeingiza israel hapo?
Wewe huwa unachuki sana na Waisraeli pia kwenye posting zako huko International forum
 
Kwa anachofanya muisrael kwa watoto na wanawake na wapalestina kwa ujumla kitakufanya uwapende waisrael!?..wayahudi hata wa marekani wamepinga uzayuni wa netanyahu wakisema 'zionism is not Judaism'..wewe unawapenda wauaji wa kimbari wa 1994!?
 
Muisraeli anafanya FAFO.
 
Back
Top Bottom