M-Bet mmekua matapeli?

M-Bet mmekua matapeli?

Ni siku ya nne sasa nina bet kupitia MBET na kama kawaida uwa nakatwa hela za kulipia gharama ya kununua ticket,lakini cha ajabu kwa siku zote nne hizo sikua kupata msg toka kwa MBET as a reference ya malipo yangu na ticket yangu,kilichonistua na kunisikitisha ni kua juzi nilishinda kupitia hii kampuni ya MBET lakini mpaka leo sijapata malipo yangu mpaka leo hii jumatano ya tarehe 8 april,nauliza je hii kampuni imeanza usanii au wamefikwa na nini?

Tena waendelee kuwakamua bila huruma. Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu vimeharimisha michezo ya kubahatisha kuwa vyanzo vya mapato.

Wewe unataka kuvuna pale usipopanda. Mungu amekupa bure siku 6 za kuchapa kazi, zitumie vizuri kwa kuachana na 'wapiga ramli' hao na utabarikiwa sana wewe na nyumba yako yote.
 
kwanini watu msibet kwa visa card kwa makampuni ya kimataifa hela inaingia direct kwenye account yako,hii nchi yetu hata ukitapeliwa haina msaada,ila kwa wenzetu kampuni ikitapeli inafungiwa
 
Tena waendelee kuwakamua bila huruma. Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu vimeharimisha michezo ya kubahatisha kuwa vyanzo vya mapato.

Wewe unataka kuvuna pale usipopanda. Mungu amekupa bure siku 6 za kuchapa kazi, zitumie vizuri kwa kuachana na 'wapiga ramli' hao na utabarikiwa sana wewe na nyumba yako yote.

Mkuu,mimi nina shughuli zangu tena si kwa siku sita kwa week bali kila siku ya Mungu kwa maana ya 7 days a week,mbali ya hiyo betting pia iko akilini mwangu na ni kama hobbie yangu pia kama kwa walivyo wapenda pombe na ngono,as long as simuibii mtu wala kumdisturb mtu ni ni halali kisheria basi mimi nitaendelea kubet mpaka mwisho
 
Sawa Mkuu, hizi ni siku za mwisho, hivyo basi:

"Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa" (Ufunuo 22.11).
 
Labda uniweke sawa mkuu,kwani betting ni dhuluma?if so kwa nini ime halalishwa kisheria?
 
Tena waendelee kuwakamua bila huruma. Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu vimeharimisha michezo ya kubahatisha kuwa vyanzo vya mapato.

Wewe unataka kuvuna pale usipopanda. Mungu amekupa bure siku 6 za kuchapa kazi, zitumie vizuri kwa kuachana na 'wapiga ramli' hao na utabarikiwa sana wewe na nyumba yako yote.

Ushahidi tafadhali.
 
Sawa Mkuu, hizi ni siku za mwisho, hivyo basi:

"Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa" (Ufunuo 22.11).

Sasa hapo dhuluma iko wapi?
 
Back
Top Bottom