Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Ni siku ya nne sasa nina bet kupitia MBET na kama kawaida uwa nakatwa hela za kulipia gharama ya kununua ticket,lakini cha ajabu kwa siku zote nne hizo sikua kupata msg toka kwa MBET as a reference ya malipo yangu na ticket yangu,kilichonistua na kunisikitisha ni kua juzi nilishinda kupitia hii kampuni ya MBET lakini mpaka leo sijapata malipo yangu mpaka leo hii jumatano ya tarehe 8 april,nauliza je hii kampuni imeanza usanii au wamefikwa na nini?
Tena waendelee kuwakamua bila huruma. Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu vimeharimisha michezo ya kubahatisha kuwa vyanzo vya mapato.
Wewe unataka kuvuna pale usipopanda. Mungu amekupa bure siku 6 za kuchapa kazi, zitumie vizuri kwa kuachana na 'wapiga ramli' hao na utabarikiwa sana wewe na nyumba yako yote.