Emma El chapo
Member
- Jul 30, 2017
- 30
- 24
Jamaa ni wahuni sana siku hizi, sio mara moja wala mbili nimeweka bet na mwisho wa siku matokeo yanaenda vizuri, kesho wanakurudishia hela uliyobetia wanasema system ilifeli. Lakini sijawahi bet nikafeli wakarudisha pesa kuwa system ilifeli.Hilo haliwezi kutokea angalia ulipokosea.
Nimehakikisha mkuu mpaka ikafikia kuzitafuta ofisi zao zilipo.. Kifupi jamaa ni wajanja wajanja sana siku hizi tofauti na mwanzoMkuu nakushauri kwa umakini kabisa jaribu kuhakikishia kama ni kweli uliwin. Hizo system zao ni ngumu sana kukosea.
Muda ulikuwa bado wa mechi kuanza, mwanzoni walikuwa wapo vizuri sana lakini siku hizi mizinguo sanaMkuu huenda ulilipia wakati timu zipo uwanjani
Kuna siku moja walinirudishia hela yangu niliyobetia baada ya siku mbili wakidai kulikuwa na matatizo ya network, kuangalia matokeo timu nilizobetia zilikuwa zimeshindaWatakurudishia pesa uliobetia
Siku hizi wanaelekea kuwa nyumba ya wajanjaha ha ha haaaaaa
fanya screenshot nione tukusaidie m-bet ndio nyumba ya mabingwa