M-Bet ni matapeli?

M-Bet ni matapeli?

Emma El chapo

Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
30
Reaction score
24
Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care hakuna hata moja inayopatikana.... Nauliza kama kuna mtu anazijua ofisi zao mahali zilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu hizo au email yao msaada@m-bet.co.tz
slider_dinamic_customercare.php
 
ha ha ha haaaaaa
fanya screenshot nione tukusaidie m-bet ndio nyumba ya mabingwa
 
Back
Top Bottom