M-Bet ni matapeli?

Hamia mkekabet mkuu hutojutia kwanza wana options nyingi na malipo yao ni on spot mkeka ukishinda tu.
 
Mungu alikataza kamari sababu kuu ni dhuluma aidha ni kujidhulumu mwenyewe nafsi yako kwa kujibana na kupeleka mali kwenye kamari na kudhulumiana pia.
 
Lete Ushahidi wa huo mkeka, Tuuone.Huwezi jua labda umejichanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zipo kibiti
 
Ungejua kiasi ambacho taifa linaingiza kama kodi usingesema hayo maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua kamari haijawahi mtajirisha mtu yoyote taifa linapokea kodi lakini makampuni hayo ya nje yanachukua pesa za watanzania wengi walalahoi.

Zawadi zinazotolewa hata 1% inaweza isifike na ikumbukwe kodi mnalipa nyie wacheza kamari wao wanaondoka na pesa za watanzania wanyonge.


Yaani kwa lugha nyepesi BABA(SERIKALI ) anakubali TAPELI( makampuni ya kamari yote),awatapeli watoto wake(WATANZANIA waliocheza,wanaocheza kamari au watakaocheza) kwa kuwa tu huyu BABA ataachiwa/anaachiwa kiasi kidogo ambacho watoto wake wanatapeliwa....

Mwisho wa siku ni hasara tu kwa hiyo familia nzima kiujumla.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…