Emma El chapo
Member
- Jul 30, 2017
- 30
- 24
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimehamia sportpesa kwa sasa.. Mpaka ofisi zao nazijua zilipo na jamaa ni internationalMakampuni ni mengi kwa sasa ukisuluhisha huko hamia kampuni jingine
Kweli ngoja nihamishe makaziHamia mkekabet mkuu hutojutia kwanza wana options nyingi na malipo yao ni on spot mkeka ukishinda tu.
Hahahah ni pata potea.Hahahaaa! Kamari sikuzote ni kamari tu.
Lete Ushahidi wa huo mkeka, Tuuone.Huwezi jua labda umejichanganya.Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care hakuna hata moja inayopatikana.... Nauliza kama kuna mtu anazijua ofisi zao mahali zilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma mkeka, acha maneno mengi.Nimehakikisha mkuu mpaka ikafikia kuzitafuta ofisi zao zilipo.. Kifupi jamaa ni wajanja wajanja sana siku hizi tofauti na mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kubashiri sio kazi.....kama ni mteremko kajaribu kama haujafa masikini!
!
Acha miteremko.... Fanya kazi.
Kazi ni shughuli yeyote inayotumia nguvu (na) au akili. Kwani kubet hiatumii akili na nguvu kiasi?!
!
Acha miteremko.... Fanya kazi.
Umesahau pia na kuingizia Taifa kipatoKazi ni shughuli yeyote inayotumia nguvu (na) au akili. Kwani kubet hiatumii akili na nguvu kiasi?
Duh...unaweza weka screenshot ya mkeka wako hapa?Nimehakikisha mkuu mpaka ikafikia kuzitafuta ofisi zao zilipo.. Kifupi jamaa ni wajanja wajanja sana siku hizi tofauti na mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo kibitiJamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care hakuna hata moja inayopatikana.... Nauliza kama kuna mtu anazijua ofisi zao mahali zilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua kiasi ambacho taifa linaingiza kama kodi usingesema hayo manenoMh Magu si afungie huu upuuzi tu
Ungejua kamari haijawahi mtajirisha mtu yoyote taifa linapokea kodi lakini makampuni hayo ya nje yanachukua pesa za watanzania wengi walalahoi.Ungejua kiasi ambacho taifa linaingiza kama kodi usingesema hayo maneno
Sent using Jamii Forums mobile app