Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu...je gas ya kg 15 waweza kutumia mwaka?Japo sifahamu inafanyaje kazi. Lazini naweza kufikiri kwamba unapewa amtungi wenye Gesi ya kutosha ila kutumia gesi hiyo ndio inabidi ulipe upewe pass code kama Vote za LUKU.
Haiwezekani Utumie Gesi from nowhere.
Gesi ni Matter, material thing it occupies space and volume.
Au kuna uwezekano gas ikashindiliea ukatumia milele?
Basi M-gas gas yake ikiisha unanunua kam vocha hata kwa buku 2 unaendelea kutumia instant