Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
SISIEMU ndio imetufundisha kuiba!Aisee kuendesha biashara bongo ukiachana na TRA sisi wenyewe tunaharibiana. Yani mtz akiingia kazini ukiwa umempa ajira plan yake ni kutafuta namna akuibie. Hajali hasara unayopata. Unamwajiri mtu famasi, kumbe anakuja na dawa zake ndizo anauza wewe unashangaa hakuna mauzo. Kazi yako kumpa mshahara na kulipia fremu lakini kumbe yeye anauza dawa zake.
Kila mtanzania anaiba kutokana na sehemu aliyopo:
SISIEMU wenyewe qanatuibia kwenye kura ndio maana bado wapo madarakani