Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Swali la kwanza ni kumuonea bure, kwasababu yeye sio miongoni mwa wale watu wa update.
- Mkuu jaribu kuuliza kwanini hatupewi updates za huu ugonjwa? Mbona mamlaka iko kimya sana?
- Muulize waziri kuhusu haki yetu raia ya kupata habari mbona inakiukwa Sasa?
Swali la pili ni valid question, nitamuuliza.
P