M-Pawa na mikwara ya kuwashtaki wadeni wake

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Nina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu.

Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae.

Ushauri kwa Vodacom.
Mkipesheni mteja mwenye kupotisha pesa kwenye mpesa yake most frequently, ili mkiona hatumii ten ndio mumtishie alipe.
 
Rafiki Mama Edina lipa deni acha janja janja .
 
M pawa hawana mikwara.
Angekutana na BRANCH ndio angejinyea.
Lkn bado watanzania wanakimaa tu.
Unajua branch wanahisi mtanzania anakithamini kitambulisho Cha NIDA Kama kule kwao Kenya.
Wanadai hawa jamaa unaweza hisi wako nje mlangoni kwako walivyo na vitisho[emoji23]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi nilihisi wanajua ninapoishi lakini nikaja kugundua hawajui. Mimi wananidai laki mbili, hivi kweli wanaweza kutoka Dar wake Nata, Tabora kwa ajili ya laki mbili?
 
Nina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu.

Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae.

Ushauri kwa Vodacom.
Mkipesheni mteja mwenye kupotisha pesa kwenye mpesa yake most frequently, ili mkiona hatumii ten ndio mumtishie alipe.
Mwambie asilipe hakuna kitu watamfanya.Aache wog huyo mwanaume wa Dar
 
Mimi hadi dada wa customer care kanitishia wamekuja na pira nitoke nje,nkasema hapa kimeshanuka,nimeganda kama dakika 5 sijaona mtu hadi Leo na line nkavunja
 
Back
Top Bottom