Utaona sms......."Ndugu mteja jina lako limeorodheshwa kama mdaiwa sugu kwenye taasisi zinazoshughulika na ukusanyaji wa madeni, lakini hatujaishia hapo tu kuna kikosi cha makomando wanne wenye silaha nzito za kivita wapo kwenye maandalizi ya kukuvamia mahali popote ulipo, kuna maninja sita walio tayari kukuibukia hapo ulipo na kukufanyiab kitu mbaya sana boya wewe, usisahau kuwa tumekodi mdunguaji mmoja mahiri sana kutoka Cuba, yani muda wowote ukijitikisa jamaa anakuzimisha maana hana huruma yule bwege.......sasa ili kuepuka kuishi kwa wasiwasi hebu lipa hilo deni"