Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Rafiki Mama Edina lipa deni acha janja janja .Nina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu.
Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae.
Ushauri kwa Vodacom.
Mkipesheni mteja mwenye kupotisha pesa kwenye mpesa yake most frequently, ili mkiona hatumii ten ndio mumtishie alipe.
ndugu ktk iimaan wao ni wao Sio poa Si Lazima KuchangiaRafiki Mama Edina lipa deni acha janja janja .
Uachi ,alafu atalipa,mbona sijakuelewa
HahahahahaMwalimu Mama Edina lipa deni la M pawa unazidi kumpa point 3 muhimu mpwayungu village
Wanadai hawa jamaa unaweza hisi wako nje mlangoni kwako walivyo na vitisho[emoji23]M pawa hawana mikwara.
Angekutana na BRANCH ndio angejinyea.
Lkn bado watanzania wanakimaa tu.
Unajua branch wanahisi mtanzania anakithamini kitambulisho Cha NIDA Kama kule kwao Kenya.
Kuna kipindi nilihisi wanajua ninapoishi lakini nikaja kugundua hawajui. Mimi wananidai laki mbili, hivi kweli wanaweza kutoka Dar wake Nata, Tabora kwa ajili ya laki mbili?Wanadai hawa jamaa unaweza hisi wako nje mlangoni kwako walivyo na vitisho[emoji23]
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi nilihisi wanajua ninapoishi lakini nikaja kugundua hawajui. Mimi wananidai laki mbili, hivi kweli wanaweza kutoka Dar wake Nata, Tabora kwa ajili ya laki mbili?
Mwambie asilipe hakuna kitu watamfanya.Aache wog huyo mwanaume wa DarNina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu.
Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae.
Ushauri kwa Vodacom.
Mkipesheni mteja mwenye kupotisha pesa kwenye mpesa yake most frequently, ili mkiona hatumii ten ndio mumtishie alipe.