Hawa jamaa sijui vipi. Nimefanya transaction Jumatano iliyopita, nimemtumia mtu wa Mpesa kwa bahati mbaya miamala ikaenda mara mbili. Nimewasiliana na Airtel Money wanasema wanasema Mpesa itarudisha ndani ya masaa 48. Leo sijaona muamala wowote . Rudisheni pesa yangu tafadhali. Maisha magumu.