skilled masala
Senior Member
- May 2, 2019
- 117
- 160
For long term ,benki account haikwepeki, na kamwe huwezi kuilinganisha na virtual card na physical card utakayopewa benki baada ya kufungua account.sioni haja yeyote ya kuwa na account ya bank
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapo taka kulipia kitu online mfano Nimeiona bidhaa AliExpress au Amazon kuilipia inakuwa ngumu kidogo ambapo inatakiwa niwe na VISA account. Lakini sasa baada ya kuingundua hii M-pesa master card sipati tabu tena na sioni haja yeyote ya kuwa na account ya bank
Hasa pale unapokuwa unatumia m-pesa App unaweza kufanya miamala hata kama laini yako haiko hewani so hata kama ikatokea laini yangu imepotea hela yangu nabaki nayo.
Maelezo kidogo hapo mkuu... njmevutiwa na hiyo huduma
Asante mkuuVodacom Tanzania : Welcome
Vodacom Tanzania Public Limited Company is Tanzania's leading mobile operator and mobile financial services provider, with the fastest nationwide data network and the largest mobile money network in the country. We provide various communication services to more than 12.6 million customers.vodacom.co.tz
Rejea
- https://www.jamiiforums.com/threads...roduce-first-online-card-in-tanzania.1480975/
- https://www.jamiiforums.com/threads/hatimaye-unaweza-kufanya-malipo-mtandaoni-kwa-m-pesa.1481765/
- https://www.jamiiforums.com/threads/vodacom-tz-mastercad.1481307/
Maelezo kidogo hapo mkuu... njmevutiwa na hiyo huduma
Mbona mambo ya kawaida haya .....wabongo mlikua gizan kias hchoMbona Saizi Master Card za CRDB jnalipia pia online hata bila kuisajili. Juzi nimejaribu kilipia usd 28 aliexpress ikakubali
Hamna bhana, kama unataka kutumia card, kwa CRDB ilikuwa hadi ujaze mifomu na kufanya MasterCard Secure Code verification! Kinyume cha hapo, best option ni kui-link kadi kwenye PayPal! Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa natumia UBA! Hawa hawakuwa na huo ujinga; labda sijui kwavile walikuwa wanatumia VISA, sina uhakika!Mbona mambo ya kawaida haya .....wabongo mlikua gizan kias hcho
Yaani unaweza kutumia bila kui-link na PayPal?!Mbona Saizi Master Card za CRDB jnalipia pia online hata bila kuisajili. Juzi nimejaribu kilipia usd 28 aliexpress ikakubali
5 yrs ago nlikua natumia mastercard(crdb) yangu kufanya app purchaseHamna bhana, kama unataka kutumia card, kwa CRDB ilikuwa hadi ujaze mifomu na kufanya MasterCard Secure Code verification! Kinyume cha hapo, best option ni kui-link kadi kwenye PayPal! Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa natumia UBA! Hawa hawakuwa na huo ujinga; labda sijui kwavile walikuwa wanatumia VISA, sina uhakika!
Bado hawajafikia kuwa best hadi watakapokuwa connected directly na some online stores like Amazon et.al na kwenye freelancing platforms tuliko sie wengine! Wenzao SafariCom tayari wapo huko.M-PESA ni the best ila vifurushi nyumbani kumenoga Voda ni wezi