Hii ni kodi kwenye commission na wala sio kwenye transaction. Nilivyoelewa mimi, wale agent wa MPESA kwa mfano, commission yao ya mwezi ndio itakata hiyo withholding tax.
Mkuu naomba unielekeze kuna aina ngapi za tax. Inaelekea wewe umesomea hayo mambo. Mimi nimesoma mambo ya afya, lakini niko interested sana na mambo ya biashara na uchumi.
Kijana ningependa nijue ajira yako tafadhali kwa sababu naona ile kazi ya kubeba sumu kila mtu kaishtukiaAhaa leo nimejua jina lako maana comment zako zinafanana na dada mmoja wa Tanuru la Fikra kule FB ambae ni rafiki yangu sana anaitwa Tu..............! ! ! Nae pia amesomea mambo ya Afya.Interesting indeed!
Mkuu naomba unielekeze kuna aina ngapi za tax. Inaelekea wewe umesomea hayo mambo. Mimi nimesoma mambo ya afya, lakini niko interested sana na mambo ya biashara na uchumi.
Hii ni kodi kwenye commission na wala sio kwenye transaction. Nilivyoelewa mimi, wale agent wa MPESA kwa mfano, commission yao ya mwezi ndio itakata hiyo withholding tax.
Kuna withholding tax ambayo makampuni ya cim yanatakiwa kuwakata maagent wanapowalipa commission and then kuna ushuru wa 14% kwa huduma zote ikiwapo hiyo ya money transfer.
Muathirika ni mtu wa mwisho ambaye ni mtumiaji haya mambo ya comission na agent hakuna anayeathirika, mwisho wa siku mpesa tigopesa airtel money zitakufa coz watumiaji watashindwa gharama zake.
Sasa hivo tu mpesa gharama zimepanda kutuma hela na kupokea je hiyo kodi ikiwekwa?
Tupo pamoja mimi ndivyo nilivyoelewa.
Kwani hawa mawakala wamekuwa wakila mapato ya Bure bila kulipa Kodi, Ilikuwa ni moja ya Biashara zisizo na Kodi.
mmh mkuu una uhakika na unachokisema hapo kwa red? mkuu biashara ya mpesa sijui tigopesa si stand-alone business, ndo maana kama huna biashara nyingine inayo-operate (yenye biashara) hawakupi uwakala. Kwangu mimi kuwakata kodi ni kuwaonea na ni double standard kwa sababu hawa watu tayari wanalipa kodi TRA kwa biashara anayoifanya, so utamkataje tena kodi mara mbili?
Ni sawa na mtu ana duka lake analipa TRA halafu bado unamkata ten kodi kwa kila item anayouza, that's crazy!!
sio kweli,
kwanza mobile money zimerahisisha huduma za mabenki na wala sio kuyaua..
tazama jinsi kila benki inavyokazana kuwezesha wateja wake kutumia mobile banking,...
pili mara nyingi watu hutumia mitandao kuweka fedha ndogo zisizozidi m 10 mfano..
kwa hivyo pesa nyingi watu watapeleka benki tu..
tatu ni kama alivyosema jamaa hapo..hiyo kodi mpya inachajiwa kwenye comission anayolipwa wakala na kampuni ya simu mwisho wa mwezi..kwa hivyo haiwezi kuathiri biashara ya mobile money namna hiyo..
Kama wanalipa kodi kwenye hizo biashara sanjari haimaanishi wasilipe kwenye hii ya kutuma pesa. Ikumbukwe pia kwamba kodi hii ni copy paste ya nchi jirani ikiwemo Uganda. Na vile vile naamini upo uwezekano mkubwa wa makampuni kuongeza viwango vya ada ili kulinda faida zao. Hii ina maana kodi hii itaishia kulipwa na mtumiaji. Na kwa Bahati mbaya wanaotumia huduma hizi ni wananchi wa kipato cha kati na zaidi cha chini. matajiri na pesa zao nyingi bado wako na mabenki.
Mtoa mada ana wajibu wa kuweka ushahidi wa namba kwamba viwango vipya vya ada vitazidi viwango vya mabenki na hivyo kusababisha kufa kwa huduma hizi.
Mind your own business!!Kijana ningependa nijue ajira yako tafadhali kwa sababu naona ile kazi ya kubeba sumu kila mtu kaishtukia
Unaonaje ukaja kupiga boksi upate mkwanja wa nguvu kuliko kuishia kuwa kibaraka wa mtu?