Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
- Thread starter
-
- #221
Dah basi wewe ni mgumu sana kuelewa mkuu yani mtu akae na pesa yako mtu mwenye akili ashindwe kupata faida? Letsay mtu akae na milion 50 yako then kwa mwezi akulipe laki 5 atashindwa kupata faida😃Hii bado sijaielewa wao wanapataje faida
Hizo pesa umezipataje kk naomba mchongoUnaona hapa navuta 70+elfu @wiki inasoma kama faida na mwisho wa mwezi zinajumlishwa kwenye mtajiView attachment 3497952
Kwahio hapo tunamkopesha sisi si ndio 😁Dah basi wewe ni mgumu sana kuelewa mkuu yani mtu akae na pesa yako mtu mwenye akili ashindwe kupata faida? Letsay mtu akae na milion 50 yako then kwa mwezi akulipe laki 5 atashindwa kupata faida😃
Ndio anafanyia kazi zake sema urahisi nikwamba ukihitaji kurudishiwa pesa yako anauwezo wa kurudisha muda wowote. So kwa vyovyote vile yeye anapata faida zaidi yako kubwa tuKwahio hapo tunamkopesha sisi si ndio 😁
Ni nyingi zinakushtua?Hi
Hizo pesa umezipataje kk naomba mchongo
Naombq mchongo mkuuNi nyingi zinakushtua?
Ni heri mara 1000 kuliko bankNikiweka 100m nitapata 13 kwa mwaka, mmmh labda uzeeni
1,000,000,000x.13=130,000,000/12=10,833,333 SIO 13mK
Kweli mkuu ukiwa na bilion kwa mwezi hukosi zaidi ya milion 13
Uko sahihi. Kausha damu inalipa sana. Riba 20% hadi 30% kwa mwezi.Bora nianzishe kausha damu ntajua nitakavyo pambana na BOTView attachment 3158002
Hii inapatikana vp kiongozi?Hamna atakayezidi ile 15%+ ya BOT kwa sababu wote hao ni madalali wa BOT.
Ikitokea ambaye anatoa zaidi ya hiyo maana yake hajawekeza kwenye Bond …atapeleka kwenye risk ventures nyingineHamna atakayezidi ile 15%+ ya BOT kwa sababu wote hao ni madalali wa BOT.
Mnawapa hela wao wanapeleka BOT wakipewa ile 15%+ yao wao wanawapa 13% wanabakiwa na 2% faida yao.