M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

Msisahau kuwaambia watu kuwa mwanzo kuwekeza kwa niaba ilikua bure ila saa hizi makato kama kawa .. wekeni wazi na hilo
Kwaniaba haina tofauti na kutuma pesa mkuu, watu wanaweza kutumia njia hiyo kukwepa makato ya kumtumia mtu pesa
 
Kwaniaba haina tofauti na kutuma pesa mkuu, watu wanaweza kutumia njia hiyo kukwepa makato ya kumtumia mtu pesa
Kwanza unawekaje pesa Kwa niaba si uweke pesa m pesa uhamishe Mimi xakiweka gharama za kutoa pesa na kuweka pesa ndio utakua mwanzo wa kuacha huu uwekezaji
 
Kwanza unawekaje pesa Kwa niaba si uweke pesa m pesa uhamishe Mimi xakiweka gharama za kutoa pesa na kuweka pesa ndio utakua mwanzo wa kuacha huu uwekezaji
Kwa niaba mfano wewe utake kuwekeza kwaajili ya mtu mwingine , maana yake hiyo pesa yako unaituma kwenye account yake ya mwekeza halafu yeye anaweza kutoa kwa wakati wowote
 
Kwanza unawekaje pesa Kwa niaba si uweke pesa m pesa uhamishe Mimi xakiweka gharama za kutoa pesa na kuweka pesa ndio utakua mwanzo wa kuacha huu uwekezaji
Kuweka pesa ni free mkuu, gharama zipo kwenye kutoa pesa yako mpesa kupata Cash ya mfukoni
 
Ww ushawahi kuwekeza Mpawa kumbuka unaambiwa Unaweza kupata mpaka Asilimia 13 unaweza kupata mpaka elewa mpaka mpaka
 
Ni hasara tupu kwa mtu anayejitafuta mfano nikiweka 1000000*13%=130000 Kisha gawanya kwa 130000/12=10800 kwa mwezi si Bora uuze Karanga
 
Wananchi Wengi Tz kipato chetu ni chini ya 300000 kwa mwezi hivyo nazani hiyo sio sehemu salama katika uwekezaji wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…