M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

sifahamu kama nisawa mkuu. Ila m-wekeza wao wanatoa 13% kwa mwaka hii inamaana kwa siku unaweza kupokea 1%-1. Something . Na hiyo faida haihesabiwi kwenye mtaji nimpaka mwezi uishe
Kwahiyo mwezi ukibisha ndio unapokea gawio lao Kwa pesa uliyowekeza
 
M -wekeza faida inajikusanya kila siku na itawekwa kwenye mtaji wako tarehe 2-5 ya mwezi.
 
Mkuu pesa niliweka Jana saa tano asubuhi ila mpaka Sasa hawajaweka riba yeyote kama ulivyoeleza wewe hapo maana kupo 00
Leo weekiend mkuu, iache hiyo pesa hadi siku za kazi uangalie salio. Its better kuangalia mtiririko unavyooenda baada ya kupokea riba ya mwezi then ugawanye kwa siku hela yako ilovyokaa huko M wekeza .
 
Back
Top Bottom