Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je! kuna uwezekano wa kuwekeza kama kikundi?Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^J
Kila sikuGawio wanalipa kila baada ya muda gani?
Sifaham mkuu wasiliana naoJe! kuna uwezekano wa kuwekeza kama kikundi?
Naomba kufahamu tafadhali jinsi ya kufungua Utt na kuanza kuwekeza na huduma hii inakuajeUtt unatoa wakati wowote sijajua hawa voda kama ndivyo hakika utakuwa upinzani mkubwa
Hata voda unatoa muda wowote bila makato.Naomba kufahamu tafadhali jinsi ya kufungua Utt na kuanza kuwekeza na huduma hii inakuaje
Bado hela ya voda kuitoa Kuna kukatwa labda watoe njia ya kuitapishia benki napo Kuna makato sio ya kitotoWajaribu kwenda kwenye mfumo wa UTT, ili iwe possible ku - withdraw kiasi cha faida monthly, hata ikibidi hawa wa monthly faida iwe 10.5%,ya capital installed. UTT itakuwa niagie, but this is business!
Kwa UTT nako siunatolea bank mkuu makato hukwepiBado hela ya voda kuitoa Kuna kukatwa labda watoe njia ya kuitapishia benki napo Kuna makato sio ya kitoto
Kwa hiyo naweza wekeza ata million 50?Hata voda unatoa muda wowote bila makato.
Ndio mkuuKwa hiyo naweza wekeza ata million 50?
Unatoa wapi hela mkuu mbona ina kibunda sanaKwa hiyo naweza wekeza ata million 50?
😲😲😲Ebo! 50million nayo kibunda toka lini??!!! Hela ya kubadilishia mboga hiyo.Unatoa wapi hela mkuu mbona ina kibunda sana
Makato ya benki yako down than e mobile walletKwa UTT nako siunatolea bank mkuu makato hukwepi
😃😃😃😃😃😃nimeshaanza na voda 13%, atakayekuja na zaidi ya hapo nawakimbiaHii sekta passive income inakuja kwa kasi. Voda 13%, nimeona bank ya Azania na wao wameleta 12.5%, nasubiria atakayeleta 25% hata 100%🤣
Vipi gawio wanatoa Kwa mda gani😃😃😃😃😃😃nimeshaanza na voda 13%, atakayekuja na zaidi ya hapo nawakimbia
Kila siku. Itajaziwa kwenye mtaji wako kila tarehe 2-5Vipi gawio wanatoa Kwa mda gani
Kwa hiyo kila mwisho wa mwezi navyta mpunga wangu?Kila siku. Itajaziwa kwenye mtaji wako kila tarehe 2-5
Ooh okay pesa niliyoiweka kama mtaji naweza kuitoa mda wowote au ni mpaka mwaka uisheKila siku. Itajaziwa kwenye mtaji wako kila tarehe 2-5
Muda wowoteOoh okay pesa niliyoiweka kama mtaji naweza kuitoa mda wowote au ni mpaka mwaka uishe
Hapana . Nilazima iwepo Mpesa.Kwa hiyo kila mwisho wa mwezi navyta mpunga wangu?
Nanhiyo hela ya kuinveat natransfer moja kwa moja toka bank account i to mwekeza?