zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kule juu umesema 13% kwa mwaka huku chini unasema mpaka ukiona neno mpaka jua hapo kati kuna makolokolo kibao unaweza ukaambua 1% au 0.25% kwa Mwaka, ongeza maelezona kupata faida mpaka 13%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule juu umesema 13% kwa mwaka huku chini unasema mpaka ukiona neno mpaka jua hapo kati kuna makolokolo kibao unaweza ukaambua 1% au 0.25% kwa Mwaka, ongeza maelezona kupata faida mpaka 13%
Mkuu unatoa muda wowote, hata ukiweka 100000 kwa mfano, hata jioni unatoa, download app ya Mesa, wameweka vizuriMkuu vipi ukitaka kutoa pesa zako, unaweza ukatoa muda wowote au mpaka baada ya kipindi fulani?
Hii app ya Yas Mixx au ya nani?download app ya Mesa
Anhaa , 👍🏾Mkuu unatoa muda wowote, hata ukiweka 100000 kwa mfano, hata jioni unatoa, download app ya Mesa, wameweka vizuri
Bank sawa. Ila voda? Mtalia vibaya sana.Hii sekta passive income inakuja kwa kasi. Voda 13%, nimeona bank ya Azania na wao wameleta 12.5%, nasubiria atakayeleta 25% hata 100%🤣
Hiyo nikuwa kama ukiacha mtaji kwa mwaka mzima utafikisha faida ya asilimia 13Kule juu umesema 13% kwa mwaka huku chini unasema mpaka ukiona neno mpaka jua hapo kati kuna makolokolo kibao unaweza ukaambua 1% au 0.25% kwa Mwaka, ongeza maelezo
Kwani siku ya kutoa hizo pesa hazikatwi makato ya M pesa? kama ilivyo kwenye Mpawa?.
Ukipata faida ya asilimia 13 ni sawa na kusema ulichoweka kwao kikakaa mwaka mzima kinakuja kukurudishia 1.13 yake.Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.

Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
Mpaka 13% maana yake maximum ni 13 na minimum imaweza kuanguka popoteWaje kusema ukweli tu maana kuna picha picha wanazileta ambazo si rafiki, mwanzo walisema 13% hizi siku mbili 3 ukicheki app yao wameweka 11.42% kwamba taratibu wanashusha .. wawakusanye wee then warudi kama kwa wengine ..
Mnasema hakuna makato ya ziada,Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
Mnasema hakuna makato ya ziada,
Je hiyo faida ya 13% haikatwi Withholding Tax ya 10%??
Hii unaomba over 0.5 goals 1Half ushaipata ndani ya dakika 45. Tena hii inakuwa na faida ya kuanzia 20%.Ukipata faida ya asilimia 13 ni sawa na kusema ulichoweka kwao kikakaa mwaka mzima kinakuja kukurudishia 1.13 yake.
Kwa sie wa kubeti hii 1.13 unaipata kwenye mechi moja tu, yaani ndani ya dakika zisizozidi 100 (nimeweka na dakika za nyongeza) tayari ushapata hela ambayo wa kwenye M-Wekeza anaisubiri mwaka mzima.
#Bet what you can afford to lose#
Hauna akiliHii unaomba over 0.5 goals 1Half ushaipata ndani ya dakika 45. Tena hii inakuwa na faida ya kuanzia 20%.
Kabisa mkuuHawa jamaa kuna vipengele vichache wakiviingiza kwenye mfumo wao, watakolect milioni and millions!, aidha wakishindwa monthly waweze kutoa gawio kila baada ya miezi mitatu kwa anayehitaji kupata fedha za kujikimu,
Sawaaa.... ahsante kwa taarifaKampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
😂😂😂😂Ukipata faida ya asilimia 13 ni sawa na kusema ulichoweka kwao kikakaa mwaka mzima kinakuja kukurudishia 1.13 yake.
Kwa sie wa kubeti hii 1.13 unaipata kwenye mechi moja tu, yaani ndani ya dakika zisizozidi 100 (nimeweka na dakika za nyongeza) tayari ushapata hela ambayo wa kwenye M-Wekeza anaisubiri mwaka mzima.
#Bet what you can afford to lose#
🤣🤣🤣🤣Hauna akili