Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hizi bonds za mabenki(nmb,azania, e.t.c) wanasema zinaenda kusaidia wajasiriamali wadogo/vijana/wanawake. Kuna bonds za kimataifa zinauzwa mpaka nchi za nje.Hamna atakayezidi ile 15%+ ya BOT kwa sababu wote hao ni madalali wa BOT.
Mnawapa hela wao wanapeleka BOT wakipewa ile 15%+ yao wao wanawapa 13% wanabakiwa na 2% faida yao.
Ila uhalisia
Hizo bonds nahisi zinanaenda BOT lakini pia zinaenda kukopesha watu wengine hasahasa watumishi wa umma ambao ni risk free ni mwendo wa kukata moja kwa moja kwenye mishahara yao. Halafu asilimia ndogo sana wanakopeshwa wafanyabiashara wakubwa wenye assets kubwa na cash flow kubwa sana. Hao wajasiriamali wadogo/vijana/wanawake ndio wanapewa Asilimia ndogo mno kwa ajili ya kuzugia tu.
Bondi Yangu - Azania Bank
Discover Azania Bank's 'Bondi Yangu,' a medium-term bond program aimed at supporting financial inclusion, especially empowering women and youth across Tanzania. This tax-exempt bond offers a fixed 12.5% annual return and a four-year tenor, maturing in December 2028.