Message za tume ya uchunguzi wa mauwaji ya 29/10/2025 - 3/11/2025

matonyamswanu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2025
Posts
358
Reaction score
433
Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia

Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume.

Sina tatizo na massages hizo.
Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na wataufanyia kazi ?? Nikiamua kwenda mwenyewe mbele ya tume watanisomea maelezo yangu jinsi nilivyowaeleza ndivyo walivyoandika.

Kwa wenye ushahidi wa picha na video, wako tayari kuvipokea kama vielelezo ?

Nawasilisha.
 
Wewe ni nani katika nchi hii. Kwa nini hukuzileta hapa Jamii F. Huku ni kutafuta kiki tu
 
Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia

Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume.

Sina tatizo na massages hizo.
Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na wataufanyia kazi ?? Nikiamua kwenda mwenyewe mbele ya tume watanisomea maelezo yangu jinsi nilivyowaeleza ndivyo walivyoandika.

Kwa wenye ushahidi wa picha na video, wako tayari kuvipokea kama vielelezo ?

Nawasilisha.

Rekebisha Kauli.

Tume sio kuchunguza Mauaji.
Ila ni tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani kabla na baada ya kipind cha uchaguzi.

Sasa Ukishajua utofaut uliopo..bila shaka utagundua kuwa kuna taarifa hazitajumuishwa kwenye report.

Hapa watachunguza Chanzo cha watu kufanya vurugu na athar zake ila watakwepa kusema idad makisio ya vifo . Maana itatumika kama ushahid kimataifa kitu ambacho wao hawatak.
 
Tutegemee report kuandika chanzo cha zile vurugu ni
-Taasisi na watu binafsi waishiyo nje ya TZ kuwalipa hela vijana kufanya vurugu.
-vyama vya siasa kuchochea uchaguzi usifanyike NRNE
- kukodisha watu kutoka nchi jiran kuhusika kwenye maandamano nk

Report haitandika haya
- Ukandamizwaji wa haki za binadamu hasa uhuru wa kuongea, Kutoa maoni binafsi na kujishughulisha na Siasa za upinzani kama katiba inavyosema.

- Utekaji na mauaji ya Raia wanaongea kuhusu udhaifu wa Serikali. (Wako weng sana wamepotezwa)

- kufungwa kwa vyombo vya habari (online TV), mitandao ya kijamii (twitter na JF) na watu binafsi (wanaHarakat na wanasiasa ) ambao wametoa maoni binafsi kuhusu uwajibikaji wa Serikali.

- kuminywa Haki kwa wanasiasa waliokubali kushiriki Uchaguzi wa Oct 29. ( Mpina , Sheikh Ponda na wengne weng).
Kutokuwepo kwa mazingira sawa huru kwa wanasiasa kipind cha kampeni.

Nk
 
Kipengele cha Block & Report Spam kinasaidia sana. Teknolojia oyee!! Sikusumbuliwa na meseji za TAKUKURU, POLICCM na TUME YA UCHAFUZI.
 
Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia

Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume.

Sina tatizo na massages hizo.
Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na wataufanyia kazi ?? Nikiamua kwenda mwenyewe mbele ya tume watanisomea maelezo yangu jinsi nilivyowaeleza ndivyo walivyoandika.

Kwa wenye ushahidi wa picha na video, wako tayari kuvipokea kama vielelezo ?

Nawasilisha.
Hatuwezi kuingia kwenye MTEGO ,Samuya kashatoa muongozo ,kwahiyo tume endeleeni KUPIGA tu pesa kisha muandae ripoti kulingana na MAELEKEZO ya SAMUYA.
 
Back
Top Bottom