M23 inaelekea Bukavu mjini

Kinshasa mpaka leo msimamo wao hawawatambui Banyamurenge kama raia wa Congo, na M23 ni kundi moja tuu linalopigana ila yapo mengi sana yanayotaka kuiondoa serikali
 
Kwisha maneno, Mr Tshisekedi Chilombo kapanda ndenge kuelekea Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Huku wanajeshi wa Burundi wakimbia na wengine kukamatwa mateka kwa wingi.๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ
Daaa huyu jamaa Ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea
 
Kakimbia harudi tena.
 
Jeshi la kongo wanazidiwa hata na mgambo wa jiji dar ndio wamuondoe ok๐Ÿคฃ๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ
Mabeberu wanatengeneza namna huyo talu atageuziwa kibano maana amekuwa mkaidi hata kwa mabwana zake waliomfiksha hapo.

Wanatafuta namna ya kumpachika jina DIKITETA/WAR LORD.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHis time to leave the stage has come!!!
 
Mnachapwa na wanamgambo bado mnamsingizia PK๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, mwenzako kakimbilia Paris wewe endelea kuimba ngoma ya kimoko
 
Ilikuwa ni "Show-off"tu.
Mpaka leo hii, rais wa DRC, ambae ndo mlengwa, amesema hataki mazungumzo. Amepata support Burundi, South Africa na Tchad. Bado anajioima nguvu. Waliohushulia mkutano sio wenye maamzi
 
Mpaka leo hii, rais wa DRC, ambae ndo mlengwa, amesema hataki mazungumzo. Amepata support Burundi, South Africa na Tchad. Bado anajioima nguvu. Waliohushulia mkutano sio wenye maamzi
Rais wao ni Kubwa Jinga anasikiliza mawazo kutoka kwa wapumbavu hakina Ramaphosa, Malema.
 
Sio kazi rahisi kuna Wakongo wengine bado wanataka Mobutu Style Government kama akina Christian Malanga aliyetaka kumpindua Tshisekedi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚ Kongo ina kazi kubwa.
Kweli kazi ipo, tena sio kidogo.
 
Tshekedi ni Rais sababu baba yake alikuwa mwanasiasa mkubwa. Hajui chochote kuhusu utawala na uongozi na siasa.
 
Kongo, Rwanda Na Burundi haya mataifa hayajawahi kuwa na utulivu tangu dunia iumbwe, hata hili likiisha watakao kuja hawawezi kutulia bado wataendelea kuparurana tu
 
Kongo, Rwanda Na Burundi haya mataifa hayajawahi kuwa na utulivu tangu dunia iumbwe, hata hili likiisha watakao kuja hawawezi kutulia bado wataendelea kuparurana tu
Hili ni la Uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ