M23 inaelekea Bukavu mjini

M23 inaelekea Bukavu mjini

Mwanzo madai ya M23 yalikuwa kwamba jamii ya banyamulenge iliyokuwa ikiishi boma Kwa wingi ilikuwa inaonewa hivo wakaunda kundi Kwa ajili ya kujilinda , ila sasa wanaitaka Congo yote Kwa ujumla Hawa M23 Wana ajenda Yao nyuma ya pazia iweje wasisalie Goma kwanini wanaitaka Congo yote je wao ndo wanazani watakuwa watawala wazuri wa Congo?
Kinshasa mpaka leo msimamo wao hawawatambui Banyamurenge kama raia wa Congo, na M23 ni kundi moja tuu linalopigana ila yapo mengi sana yanayotaka kuiondoa serikali
 
Kwisha maneno, Mr Tshisekedi Chilombo kapanda ndenge kuelekea Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Huku wanajeshi wa Burundi wakimbia na wengine kukamatwa mateka kwa wingi.👇🤣
Daaa huyu jamaa Ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea
 
HUKU M23 wakiendelea na maandamano kuelekea Kinshasa baada ya kupiga hodi leo mjini Bukavu, rais Felix Tshisekedi asafiri kwenda Ulaya ..

13 February 2025
Munich, Germany

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aibuka nchini Germany katika mji wa Munich na kuwepo katika jopo la kuzungumzia usalama dunia

EXCUSIVE - HOTUBA YA RAIS FÉLIX TSHISEKEDI KATIKA MKUTANO WA MUNICH GERMANY KUHUSU USALAMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=H5IHTTO3zfM
Rais Felix Tshisekedi watu 7,000,000 wamekuwa wakimbizi wa ndani katika Kongo kutokana na vitendo vya nchi ya Rwanda ...


wana jopo walaumu wadau wakubwa kama UN, EU, Marekani, China wanawajibu gani katika kuleta amani duniani lakin tunao hali hiyo ya wakubwa kushiriki kidakindaki kuleta amani dunia wakubwa hao wanasitasita...

Mwanajopo rais Mahama wa Ghana ahojiwa nguvu ya SADC, ECA, ECOWAS, Peacekeeping Forces na kusema kuna mazingira matumizi ya nguvu ya bunduki na mabomu inayotumiwa na serikali iliyopo madarakani hayaweza kutatua mzozo bali mazungumzo ndiyo njia sahihi ...

Felix Tshisekedi alaumu undumakuwili na unafiki wa jumuiya ya kimataifa inapotokea nchi moja kuvamiwa na nchi jirani, tunaona jumuiya ya kimataifa inaamua tofauti kwa mazingira yaleyale kwa nchi tofauti ikivamiwa, mfano Kongo kuvamiwa hatuoni Jumuiya ya Kimataifa na kikanda wakichukua hatua stahiki... hii ni hatari kwa usalama na raia wanaoathirika na nchi yao kuvamiwa...

Naye waziri wa ulinzi wa Rwanda mheshimiwa Marizamunda Juvenal asema nchi yake haifadiki na kinachoendelea nchi Congo, bali inataka kuona amani inapatikana Congo ili nchi zote kufaidika na biashara za kuvuka mipaka baina ya nchi hizo jirani ..

Bi. Kimani wa Kenya akamuuliza kwanini Rais Felix Tshisekedi haziamini taasisi za kikanda kama AU, SADC, EAC hivi karibuni kwa kutohudhuria mikutano kama wa Dar es Salaam 8 February 2025 na ule wa Umoja wa Afrika AU unaoendelea 15 February 2025 mjini Addis Ababa, je kususa kuhudhuria hakuondoi fursa ya kuleta Amani kwa njia ya mazungumzo kufanikiwa

Mheshimiwa Rais Felix Tshisekedi leo tarehe 14 February 2025 kuna taarifa mji wa Bukavu ulipo nchini kwako, je una lakutuambia hali hiyo mpya nchini mwako ?

Kakimbia harudi tena.
 
Jeshi la kongo wanazidiwa hata na mgambo wa jiji dar ndio wamuondoe ok🤣😀🤣
Mabeberu wanatengeneza namna huyo talu atageuziwa kibano maana amekuwa mkaidi hata kwa mabwana zake waliomfiksha hapo.

Wanatafuta namna ya kumpachika jina DIKITETA/WAR LORD.

📌📌His time to leave the stage has come!!!
 
Mabeberu wanatengeneza namna huyo talu atageuziwa kibano maana amekuwa mkaidi hata kwa mabwana zake waliomfiksha hapo.

Wanatafuta namna ya kumpachika jina DIKITETA/WAR LORD.

📌📌His time to leave the stage has come!!!
Mnachapwa na wanamgambo bado mnamsingizia PK😂😂, mwenzako kakimbilia Paris wewe endelea kuimba ngoma ya kimoko
 
Ilikuwa ni "Show-off"tu.
Mpaka leo hii, rais wa DRC, ambae ndo mlengwa, amesema hataki mazungumzo. Amepata support Burundi, South Africa na Tchad. Bado anajioima nguvu. Waliohushulia mkutano sio wenye maamzi
 
Mpaka leo hii, rais wa DRC, ambae ndo mlengwa, amesema hataki mazungumzo. Amepata support Burundi, South Africa na Tchad. Bado anajioima nguvu. Waliohushulia mkutano sio wenye maamzi
Rais wao ni Kubwa Jinga anasikiliza mawazo kutoka kwa wapumbavu hakina Ramaphosa, Malema.
 
Sio kazi rahisi kuna Wakongo wengine bado wanataka Mobutu Style Government kama akina Christian Malanga aliyetaka kumpindua Tshisekedi 😆😆😂 Kongo ina kazi kubwa.
Kweli kazi ipo, tena sio kidogo.
 
Tshekedi ni Rais sababu baba yake alikuwa mwanasiasa mkubwa. Hajui chochote kuhusu utawala na uongozi na siasa.
 
Kongo, Rwanda Na Burundi haya mataifa hayajawahi kuwa na utulivu tangu dunia iumbwe, hata hili likiisha watakao kuja hawawezi kutulia bado wataendelea kuparurana tu
 
Back
Top Bottom